-
Kwa nini mazungumzo na Marekani hayana maana?
Sep 25, 2025 07:12Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa sababu mbalimbali kwa nini mazungumzo na Marekani hayana natija.
-
Iran yaonyesha taswira za ndani ya kinu cha nyuklia cha Israel, taarifa nyeti za wanasayansi na wataalamu 189 wa kijeshi
Sep 25, 2025 03:33Kwa mara ya kwanza, Wizara ya Usalama ya Iran imeonyesha hadharani picha na taswira nyeti za ndani ya kinu cha nyuklia cha Dimona cha utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Akihutubia UNGA, Rais wa Iran akemea mashambulizi ya Marekani na Israel
Sep 25, 2025 00:57Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya anga ya “kikatili” yaliyofanywa na Marekani na Israel mwezi Juni katika ardhi ya Iran.
-
Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO
Sep 25, 2025 00:10Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo linalodhihirisha kuwa makabiliano yanayoweza kutokea ni ya mpambano dhidi ya "ubeberu wa kimataifa."
-
Iran yakataa masharti ya kupunguza uwezo wa makombora yake
Sep 24, 2025 08:34Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Iran amesema kuwa nchi hii itatetea kwa ari kubwa usalama wake wa kitaifa na haitakubali “masharti ya kudhalilisha” kama vile kuwekewa mipaka ya uwezo wa makombora yake, akijibu kwa ukali madai ya kupindukia kutoka mataifa ya Magharibi.
-
Imam Khamenei: Mazungumzo na Marekani hayana maana yoyote
Sep 24, 2025 02:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepinga ombi la Washington la mazungumzo ya nyuklia na kusema kwamba hakuna taifa lolote huru na lenye heshima linaloweza kukubali mazungumzo chini ya mashinikizo.
-
Araqchi: Shambulio la Israel-Marekani dhidi ya maeneo ya nyuklia ya Iran, sura ya giza kwa NPT
Sep 24, 2025 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya maeneo vituo vya nyuklia vya Iran ya mwezi Juni mwaka huu, ni "sura ya giza na hatari" katika historia ya Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia, NPT.
-
Baqaei alaani vikali kuwekewa vikwazo wanadiplomasia wa Iran mjini New York
Sep 24, 2025 02:29Ismail Baqaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikwali kitendo cha maafisa wa Marekani kuwawekea vikwazo wanadiplomasia wa Iran mjini New York. Wanadiplomasia wa Iran wako nchini Marekani kushiriki katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Haiwezekani kuzungumza na mtu dhalimu, asema Rais wa Iran kabla ya ziara yake New York
Sep 23, 2025 22:46Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kabla ya kuondoka kuelekea New York kwamba haiwezekani kuwa na mazungumzo na mtu yeyote ambaye ana nia ya “kulazimisha, kudhulumu, kufanya hila au kuvuruga mambo.”
-
Rais Pezeshkian awatakia heri Mfalme na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia katika Siku ya Taifa
Sep 23, 2025 22:45Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametuma salamu za pongezi kwa Mfalme, Mrithi wa Kiti cha Ufalme, na wananchi wa Saudi Arabia katika maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya ufalme huo.