-
Kiongozi Muadhamu asisitiza udharura wa kufuata maagizo ya Tume ya Taifa ya Kupambana na Corona
Mar 16, 2020 03:51Imepita miezi kadhaa sasa tangu kirusi cha Corona kilipovuka mipaka ya China ya na sasa kimeenea katika zaidi ya nchi 150 za duniani.
-
Ayatullah Khamenei: Ni wajibu kutekeleza maagizo ya Tume ya Taifa ya Kukabiliana na Corona
Mar 15, 2020 23:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa taifa zima la Iran linawajibika kutekeleza na kufuata maagizo na hatua zinazotangazwa na Tume ya Taifa ya Kumapambana na COVID-19 (corona) kwa ajili ya kuzuia maambukizi zaidi ya kirusi hicho.
-
Zarif aitaka dunia izuie ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya Iran
Mar 15, 2020 23:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaandikia barua mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa nchi mbali mbali duniani, akiwaomba wazuie na kukomesha ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Rouhani: Ushirikiano wa wananchi wa Iran na serikali utamaliza corona, waliopona waongezeka
Mar 15, 2020 07:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kukabiliana na kirusi cha corona hakutakuwa na karantini na kwamba ushirikiano wa wananchi wa Iran na maafisa wa serikali utapelekea mgogoro wa corona umalizike kwa mafanikio.
-
Jeshi la Iran laanza mazoezi ya kukabiliana na ugonjwa wa corona
Mar 15, 2020 07:40Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limeanza mazoezi ya kukabiliana na kudhibiti ugonjwa wa COVID-19.
-
Iran yaitaka India kufuta sheria inayowabagua Waislamu
Mar 15, 2020 03:22Mjumbe mmoja wa Baraza la Kulinda Katiba la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Mkuu wa Mahakama Kuu ya India na kumtaka atumie ushawishi wake kufuta sheria mpya ya uraia inayowakandamiza Waislamu.
-
China yaipongeza Iran kutokana na juhudi zake za kupambana na Corona
Mar 14, 2020 23:00Rais Xi Jinping wa China katika ujumbe aliomtumia Rais Hassan Rouhani wa Iran amepongeza juhudi za kibinaadamu za Tehran katika kuwasaidia raia wa nchi yake walioathirika na virusi vya Corona.
-
Mousavi: Wairani hawatawasahau marafiki zao katika kipindi hiki kigumu
Mar 14, 2020 10:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezishukuru nchi zinazoendelea kutuma misaada hapa nchini kwa ajili ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona na kusema serikali na wananchi wa Iran kamwe hawatawasahau maraiki zao katika kipindi hiki kigumu.
-
Jitihada za Imarati za kudhibiti maliasili za mafuta ya Yemen
Mar 14, 2020 08:37Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya kila uwezalo kudhibiti utajiri wa Yemen vikiwemo visima vya mafuta vya nchi hiyo.
-
Balozi wa Uswisi anayesimamia maslahi ya Marekani mjini Tehran aonywa kuhusu madai yasiyo na msingi ya Trump
Mar 14, 2020 07:37Balozi wa Uswisi mjini Tehran ambaye ndiye anayesimamia malahi ya Marekani nchini Iran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje kufuatia madai yasiyo na msingi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani aliyeihusisha Iran na shambulizi la maroketi lililolenga kambi ya majeshi eti ya kimataifa ya al Taji nchini Iraq.