-
Marasimu ya maombolezo ya 40 ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani yafanyika kote nchini Iran
Feb 13, 2020 10:06Marasimu ya maombolezo ya arubaini ya shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH) yamefanyika leo kote nchini Iran kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa wa matabaka mbalimbali ya wananchi.
-
"Muamala wa Karne umewaunganisha Waislamu kote duniani"
Feb 13, 2020 08:29Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS mjini Tehran amesema mpango wa kibaguzi wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina uliopewa jina la Muamala wa Karne umekuwa chachu na sababu ya kuungana Waislamu kote duniani bila kujali tofauti zao za kimadhehebu.
-
Mousavi: Iran itatoa jibu kali kwa hatua yoyote ya kijinga ya Israel
Feb 13, 2020 01:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatekeleza uvamizi au hatua yoyote ya kijinga dhidi ya maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria na katika eneo, basi utawala huo utapokea jibu kali ambalo litakuwa la majuto."
-
Tume ya Uchaguzi Iran: Kampeni za uchaguzi wa Bunge zimeanza leo Alkhamisi
Feb 13, 2020 00:08Tume ya Uchaguzi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran imetangaza kuwa, kampeni za uchaguzi wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, yaani Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu zimeanza leo Alkhamisi.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Makombora ni sehemu ya nguvu ya kiulinzi ya Iran
Feb 13, 2020 00:06Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa makombora ni sehemu ya nguvu ya kiulinzi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Hizbullah: Yeyote mwenye kuwa pamoja na Iran na muqawama atapata ushindi
Feb 12, 2020 09:33Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tajiriba inaonesha kuwa, yeyote mwenye kuwa pamoja na Iran au muqawama basi ataibuka na ushindi.
-
Wamarekani hawajajua nafasi adhimu ya taifa la Iran katika kipindi chote cha miaka 41 iliyopita
Feb 12, 2020 08:04Mamilioni ya wananchi wa Iran jana na katika maadhimisho ya kutimia mwaka wa 41 tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini walijitokeza kwa wingi katika miji na maeneo mbalimbali na kusisitiza tena udharura wa kuendelea kusimama kidete mbele ya njama za ubeberu wa kimataifa unaoongozwa na Marekani.
-
Iran yasema iko tayari kwa mazungumzo lakini haikubali kushinikizwa
Feb 12, 2020 04:05Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijafunga mlango wa kufanya mazungumzo kuhusu mradi wake wa nyuklia lakini katu haiwezi kukubali kuburuzwa na kuwekwa chini ya mashinikizo.
-
Iran yakadhibisha madai ya Ufaransa kuhusu miradi yake ya anga za mbali
Feb 11, 2020 23:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali madai ya uingiliaji wa mambo ya ndani ya taifa hili yaliyotolewa na Ufaransa kuhusu miradi ya anga za mbali ya Tehran.
-
Zarif: Shahidi Soleimani alikuwa dhihirisho la msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu
Feb 11, 2020 23:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda shahidi wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) kutazidisha azma na irada ya mhimili wa muqawama.