-
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran atuma salamu za heri ya Krismasi na mwaka mpya
Dec 24, 2019 23:24Mkuu wa Kamandi ya Majeshi Yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu makamanda wa ngazi za juu wa majeshi ya nchi za Wakristo duniani kwa munasaba wa siku kuu ya kuadhmisha kuzaliwa Nabii Issa Masih (amani iwe juu yake) maarufu kama Krismasi.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt: Sheikh Zakzaky anapigania umoja wa Waislamu duniani
Dec 25, 2019 02:00Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt amesema kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky ni shakhsia anayepigania umoja katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Safari ya Dakta Zarif nchini Oman; mwendelezo wa diplomasia ya kieneo katika uhusiano wa Tehran na Muscat
Dec 24, 2019 09:10Jumatatu ya jana tarehe 23 Disemba, Dkt. Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Muscat, mji mkuu wa Oman na Yusuf bin Alawi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo na kujadiliana masuala mbalimbali yakiwemo ya uhusiano wa pande mbili na matukio ya eneo.
-
Iran yaonya; Israel itajuta kuanzisha mashambulizi dhidi ya Syria
Dec 24, 2019 08:25Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya Syria akisisitiza kuwa, hujuma hizo hazitapita hivi hivi bila kupata jibu kali.
-
Mousavi: Iran haitawasahau marafiki wake katika kipindi kigumu
Dec 24, 2019 04:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitawasahau marafiki zake wa kipindi kigumu.
-
Ali Shamkhani: Vikwazo na ugaidi mikakati miwili ya Marekani dhidi ya mataifa huru
Dec 24, 2019 00:55Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, vikwazo na ugaidi ni mikakati miwili inayotumiwa na Marekani dhidi ya mataifa huru na yasiyokubali kuburuzwa na kuongeza kwamba, kuweko ushirikiano wa mataifa ya eneo kunaweza kuzuia kupata mafanikio vitisho hivi viwili vilivyo dhidi ya ubinadamu.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa Iran na India
Dec 23, 2019 09:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa na kuimarishwa zaidi uhusiano wa taifa hili na nchi ya India.
-
Zarif: Kuna udharura kuchukua hatua za pamoja kukabiliana na vikwazo vya Marekani
Dec 23, 2019 01:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa jamii ya kimataifa ichukue hatua za kukabiliana na sera za Marekani za kutumia vikwazo ambazo amesema zimefika kiwango cha uraibu.
-
Wakristo, Wayahudi na Wazartoshi wa Iran walaani azimio la haki za binadamu dhidi ya Tehran
Dec 22, 2019 23:10Wawakilishi wa dini za waliowachache katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelaani azimio la haki za binadamu lililotolewa dhidi ya Iran na kuitaka Wizara ya Mambo ya Nje kufuatilia misimamo ya nchi adui na kuzima njama zinazofanywa dhidi ya Iran katika nyanja za kimataifa.
-
Jumuiya ya Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Kidini Qum yataka Sheikh Zakzaky aaichiwe huru
Dec 22, 2019 08:28Jumuiya ya Wahadhariri wa Vyuo Vikuu vya Kidini ktika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran imelaani hatua ya serikali ya Nigeria ya kumfunga jela kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na imetoa wito wa kuachiwa huru mwanazuoni huyo na kupewa mauibabu haraka iwezekanavyo.