-
Jumuiya ya Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Kidini Qum yataka Sheikh Zakzaky aaichiwe huru
Dec 22, 2019 08:28Jumuiya ya Wahadhariri wa Vyuo Vikuu vya Kidini ktika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran imelaani hatua ya serikali ya Nigeria ya kumfunga jela kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na imetoa wito wa kuachiwa huru mwanazuoni huyo na kupewa mauibabu haraka iwezekanavyo.
-
Tehran mwenyeji wa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa India
Dec 22, 2019 04:42Hivi karibuni Tehran ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Makatibu wa Mabaraza Makuu ya Usalama na viongozi wa usalama wa baadhi ya nchi jirani na Afghanistan.
-
Rouhani: Kumefikiwa mapatano mazuri sana huko Malaysia na Japan
Dec 22, 2019 03:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alielekea Malaysia na Japan kufuatia mwaliko rasmi wa Mawaziri Waku wa nchi hizo jana alasiri alirejea Tehran.
-
Sayyid Abbas Araqchi: Mashauriano baina ya Iran na Japan yataendelea
Dec 21, 2019 10:07Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuwa, mashauriano ya kisiasa kati ya Iran na Japan yataendelea.
-
Safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Japan; mazungumzo yenye malengo ya kisiasa na kiuchumi
Dec 21, 2019 07:40Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye amefanya safari huko Japan kufuatia mwaliko rasmi wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abe Shinzo jana Ijumaa alikutana na kuzungumza naye kuhusu uhusiano wa pande mbili na masuala mengine muhimu ya kieneo na kimataifa.
-
Rais Rouhani akiwa Japan: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havimnufaishi yoyote
Dec 20, 2019 23:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa kinyume cha sheria kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haina maslahi kwa Marekani yenyewe wala upande wowote wa mapatano hayo ya kimataifa.
-
Iran yalaani vikali matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani
Dec 20, 2019 23:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali matamshi yalivyo dhidi ya Iran ya Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani na kusema: "Udiplomasia na sera za kigeni za Marekani zimefeli, zimejaa ndoto, zimedumaa na ni za mabavu."
-
Taarifa ya Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran kuhusu Sheikh Zakzaky
Dec 20, 2019 08:17Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni Iran limetoa taarifa likitaka wakuu wa sera za kigeni katika nchi za Kiislamu wafuatilie kadhia ya kufungwa jela kinyume cha sheria Allamah Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kuhakikisha anatendewa haki.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Waislamu wawe macho mbele ya njama za adui
Dec 20, 2019 08:14Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran ameashiria matukio ya hivi karibuni katika nchi za Kiislamu na kusema kuwa, kuna ulazima kwa Waislamu kuwa macho mbele ya njama za maadui.
-
Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani
Dec 20, 2019 02:46Marekani ambayi ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa siku zore imekuwa ikitatiza na kuwekdea vizingiti wanadiplomasia na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali zinaopinga siasa za Washington.