-
Ayatullah Araki: Njia pekee ya kuyapatia ufumbuzi matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu ni kuwa na umoja na mshikamano
Nov 30, 2019 08:25Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu ameashiria juu ya kuweko njama za maadui za kuzusha hitilafu na mifarakano baina ya Waislamu na kusema kuwa, pekee ya kuyapatia ufumbuzi matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu ni kuweko ushirikiano, umoja na mshikamano baina ya wananchi na mataifa ya Kiislamu.
-
Iran yaiandikia barua WHO kulalamikia vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Nov 30, 2019 04:05Waziri wa Afya wa Iran amemuandikia barua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) akimtaka asinyamaze kimya mbele ya vikwazo vya Marekani dhidi ya watu wa Iran katika kununua dawa, chakula na bidhaa za kitiba.
-
Kiongozi Muadhamu akosoa safari ya kinyemela ya Trump nchini Afghanistan
Nov 30, 2019 01:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa vikali safari za kushtukiza na za kificho zinazofanywa na watawala wa Marekani katika nchi za eneo hili la Asia Magharibi kinyume cha sheria.
-
Araqchi: Kubakia hai JCPOA kutategemea jitihada za EU
Nov 30, 2019 00:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuyanusuru na kuyabakisha hai makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutategemea na jitihada za Umoja wa Ulaya na kutekeleza kwao majukumu yao kwa mujibu wa mapatano hayo.
-
Ayatullah Haj Ali Akbari: Ghasia za Iran ziliratibiwa miaka miwili na waistikbari wa dunia
Nov 29, 2019 07:56Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran Mohammad Javad Haj Ali Akbari sambamba na kulikuwa na mpango hatari nyuma ya wazua ghasia za hivi karibuni nchini Iran amesema kuwa, ghasia hizo ziliratibiwa na uistikbari wa dunia miaka miwili iliyopita sambamba na kugawa silaha na kutoa mafunzo.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Iran inazidi kung'ara duniani
Nov 28, 2019 23:03Meja Jenerali Hossein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amehutubia kongamano la kikosi cha kujitolewa hapa nchini (Basiji) cha watu elfu 10 mkoani Hamedan, magharibi mwa nchi na kubainisha kwamba, hii leo Iran ni kitivo cha matukio ya kisiasa na kwamba inadhibiti masual yote ya kioperesheni na kung'ara duniani.
-
Jeshi la kujitolea la Basiij katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 28, 2019 14:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei Jumatano ya jana alihutubia hadhara kubwa ya maelfu ya wapiganaji wa kujitolea wa Basiij akieleza msingi wa kuundwa jeshi hilo kama taasisi ya kubadilisha vitisho na kuwa fursa. Vilevile ameeleza umuhimu wa nafasi ya Basiij katika nyanja mbalimbali za vita vya silaha na vita laini na vya kutumia teknolojia ya kisasa.
-
Mousavi: Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu JCPOA si ya uwajibikaji
Nov 28, 2019 08:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi yasiyo na maana na ya kutojali ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa kusema: Matamshi hayo yanadhoofisha jitihada za hivi sasa za kutekeleza kikamilifu makubaliano ya JCPOA.
-
Mousavi: Serikali ya Iraq itekeleze vilivyo wajibu wake kuhusu walioshambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Najaf
Nov 28, 2019 04:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi amelaani vikali kushambuliwa ubalozi mdogo wa Iran mjini Najaf, Iraq na kuitaka Baghdad iwachukulie hatua kali wote waliohusika na uhalifu huo.
-
Kuunga mkono tena Marekani machafuko ya Iran; kukariri uadui dhidi ya taifa la Iran
Nov 28, 2019 03:27Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, serikali ya Marekani ikiwa na lengo la kutekeleza siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, imeiwekea Iran vikwazo vikali zaidi.