-
Ayatullah Khatami: Njama za maadui za kutikisa Mfumo zimegonga mwamba
Nov 22, 2019 09:57Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria njama za maadui za kutaka kutoa pigo kwa Mfumo wa Uongozi hapa nchini na kusema: "Hakuna mtu anayepinga watu kushiriki maandamano ya amani, lakini ni wazi maadui walitaka kushinikiza wimbi la ghasia na kuibua ukosefu wa usalama hapa nchini Iran."
-
Watawala wa Marekani waendelea kuunga mkono ghasia za karibuni nchini Iran
Nov 22, 2019 09:33Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo imezidisha uhasama wake dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran na inatekeleza mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Tehran ili eti kuilazimisha ikubali matakwa yake.
-
Iran yakosoa nchini za Ulaya kwa kuingilia mambo yake ya ndani
Nov 22, 2019 03:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya nchi za Ulaya kuingilia mambo ya ndani ya Iran na kusema: "Badala ya nchi za Ulaya kutoa matamshi ya kuingilia mambo ya ndani ya Iran na kuwaunga mkono wahuni, zinapaswa kuwajibika kuhusu kushindwa kutekeleza ahadi zao kwa watu wa Iran."
-
Jeshi la Anga la Iran lafanya mazoezi makubwa ya kivita
Nov 21, 2019 23:47Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran linafanya mazoezi makubwa kwa lengo la kujiweka tayari kivita.
-
Mousavi: Hatua za Marekani kuhusiana na Palestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa
Nov 21, 2019 23:46Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, hatua na matamashi ya viongozi wa Marekani kuhusiana na Palestina ni ukiukaji wa wazi kabisa wa sheria za kimataifa.
-
Udharura wa kustawishwa uhusiano wa kijeshi na kiusalama wa Iran na Pakistan, mbali na uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Nov 21, 2019 06:17Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Pakistan ambaye amekuja nchini Iran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kijeshi wa nchi yake, ameonana na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, Mkuu wa Majeshi ya Iran, Kamanda Mkuu wa Jeshi na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kamanda wa IRGC: Marekani na utawala wa Kizayuni ni maadui wa pamoja wa Uislamu
Nov 20, 2019 09:10Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) sambamba na kubainisha kwamba Marekani na utawala haramu wa Kizayuni ni maadui wa pamoja wa ulimwengu wa Kiislamu, amesisitiza kuwepo umoja na mshikamano zaidi wa Waislamu kwa ajili ya kukabiliana na njama za maadui.
-
Sisitizo la Araqchi la kuendelea kupunguzwa uwajibikaji katika JCPOA hadi maslahi ya Iran yatakapodhaminiwa
Nov 20, 2019 08:43Kupunguza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uwajibikaji wake katika kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kunafanyika kwa msingi wa kutumia haki ilizonazo katika makubaliano hayo; na kutaendelea kufanyika hadi maslahi ya Iran yatakapodhaminiwa.
-
Kiongozi Muadhamu: Tumemuacha nyuma adui katika medani zote; tutampiku pia katika vita vya kiuchumi
Nov 20, 2019 01:18Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameashiria umuhimu wa utajiri wa kitaifa na kuenezwa ustawi kwa wote katika Mfumo wa Kiislamu na udharura wa kutokuwa na matumaini kutoka nje na kusisitiza kwamba, kazi na msingi muhimu wa kuukinga uchumi na madhara ya vikwazo ni kuimarisha uzalishaji wa ndani na kwamba, amesimama kidete kuunga mkono hilo na amekuwa akitetetea maendeleo na ustawi wa kweli wa nchi.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani ni hatua iliyo dhidi ya maazimio ya kimataifa
Nov 19, 2019 09:55Rais Hassan Rouhani amesema, Marekani inapaswa ijijue kwamba si kiongozi wa dunia bali ni nchi kama zilivyo nchi zingine na akasisitiza kwamba, vikwazo vya Marekani ni kosa kubwa la kisiasa na kiuchumi na ni hatua iliyo dhidi ya kanuni na maazimio ya kimataifa.