-
Maana ya "kufutwa Israel" katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 15, 2019 09:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa sababu ya masaibu ya sasa ya Ulimwengu wa Kiislamu hususan hali ya kusikitisha ya Palestina ni udhaifu wa Umoja wa Waislamu.
-
Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel
Nov 14, 2019 21:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika kuwatetea watu wa Palestina.
-
Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu
Nov 14, 2019 07:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Palestina na Quds tukufu ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Ulimwengu wa Kiislamu hautawaruhusu maadui kuwafanya walimwengu wasahau kadhia ya Palestina na Quds tukufu.
-
Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)
Nov 14, 2019 11:18Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za baraka na fanaka viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia Maulidi na siku ya kuzaliwa Mtume wa rehma, amani na upendo, Muhammad (saw).
-
Ayatullah Araki: Ushindi wa kambi ya Muqawama umewafanya matakfiri watengwe
Nov 14, 2019 07:49Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, kupanuka zaidi ujumbe wa umoja na mshikamano katika Ulimwengu wa Kiislamu na kutengwa mrengo wa mawahabi na matakfiri ni miongoni mwa athari nzuri za ushindi wa kambi ya muqawama na mapambano dhidi ya ubeberu.
-
UN yaitaka US iiondolee Iran vikwazo kama ilivyoagizwa na ICJ
Nov 13, 2019 23:13Umoja wa Mataifa umeitaka Marekani iheshimu agizo la Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu la kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vinavyohusiana na bidhaa za kibinadamu.
-
Radiamali ya balozi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati Atomiki dhidi ya madai ya IAEA
Nov 13, 2019 23:12Kazem Gharibabadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki ametoa radiamali yake kuhusiana na matamshi ya maafisa wa wakala wa IAEA kuhusiana na kuweko eneo jipya la shughuli za nyuklia nchini Iran na kusema kuwa, tangu awali na tangu wakala huo ulipoijulisha Tehran kwamba, ina baadhi ya maswali kuhusiana na eneo fulani, taifa hili liliandaa mazingira ya ushirikiano wa wazi katika uwanja huo na wakakla huo wa kimataifa.
-
Rouhani: Taifa la Iran limevunja njama za Marekani kwa mapambano
Nov 13, 2019 08:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama za Marekani za kutoa pigo kwa taifa la Iran na kusema: "Mapambano (muqawama) ya wananchi wa Iran yamevunja njama za Marekani."
-
Iran yalaani uingiliaji kati wa Marekani katika masuala ya ndani ya Bolivia
Nov 12, 2019 23:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uingiliaji kati wa Marekani katika masuala ya ndani ya Bolivia na mapinduzi baridi yaliyofanyika dhidi ya rais halali wa nchi hiyo.
-
Araqchi: Iran imepunguza uwajibikaji wake ili kuyalinda makubaliano ya JCPOA
Nov 12, 2019 08:34Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Kisiasa amesema kuwa lengo la Tehran kupunguza ahadi na uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo.