-
Kiongozi Muadhamu: Iran na Iraq zinaunganishwa na imani ya Mungu Mmoja na mapenzi ya Ahlibaiti wa Mtume (saw)
Oct 06, 2019 23:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu usiku wa kuamkia leo ametuma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter kuhusiana na machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq akisisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano kati ya mataifa ya Iran na Iraq.
-
Salami: Vyombo vya habari vya kimataifa vya IRIB vimeingia katika vita visivyo na mlingano
Oct 06, 2019 08:38Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Habari la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB World Service) kimeingia katika vita visivyo na mlingano na kwamba, "ushindi wa ukweli hauna shaka."
-
Zarif: Kipaumbele cha Iran ni uhusiano mwema na nchi jirani
Oct 06, 2019 08:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kustawishwa uhusiano na nchi jirani ni kipaumbele muhimu katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran kuendelea kupunguza uwajibikaji wake kwa JCPOA
Oct 06, 2019 04:34Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa, awamu ya nne ya kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA itaanza kutekelezwa mwezi ujao kama ilivyopangwa na kwamba kwa sasa hakuna kituo chochote kilichobadilika.
-
Iran kuzindua satalaiti tatu mpya za Zafar, Pars 1 na Nahid 1
Oct 05, 2019 04:33Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran itakamilisha utengenezaji wa satalaiti tatu mpya katika kipindi cha miezi mitatu ijayo.
-
Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia: Iran imepiga hatua katika njia sahihi
Oct 04, 2019 23:09Mkurugenzi Mkuu wa muda wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ameeleza kuridhishwa kwake na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na taasisi hiyo ya kimataifa.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu, ukweli usiosahulika wa kujitetea kutakatifu
Oct 04, 2019 23:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, haipaswi kusahulika au kukadhibishwa ukweli wa matukio ya kujilinda kutakatifu (vita vya kulazimishwa vya miaka minane vya utawala wa Baathi wa Saddam dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran).
-
Ayatullah Kashani: Matembezi ya mamilioni katika Arubaini ya Imam Hussein AS yatafana zaidi
Oct 04, 2019 08:41Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq na kuhusika maadui katika kuibua ghasia hizo na kusema: "Maadui wanajaribu kuvuruga matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya ya Imam Hussein AS lakini matembezi hayo yatafana na kuwa makubwa zaidi mwaka huu ikilinganishwa na miaka iliyopita.
-
Zangeneh: Inawezekana kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi bila madola ajinabi
Oct 04, 2019 03:49Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na nchi nyingine za eneo kwa ajili ya kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari na Hormuz.
-
Salami: Adui hana ujasiri wa kufyatua risasi hewa dhidi ya Iran
Oct 03, 2019 22:10Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema adui wa taifa hili hana uthubutu wala ujasiri wa kufyatua hata risasi moja hewa ndani ya mipaka ya nchi hii.