-
IRGC yatibua njama ya Waarabu na Wazayuni ya kumuua Jenerali Soleimani
Oct 03, 2019 10:22Kitengo cha Intelijensia cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) nchini Iran kimetibua njama za nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel za kumuua Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la SEPAH, Meja Jenerali Qassem Soleimani.
-
Mkutano wa Tatu wa Mshikamamo na Vijana wa Palestina wafanyika Tehran
Oct 03, 2019 10:11Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na Vijana wa Palestina kwa ajili ya kumkumbuka shahidi Muhammad al Durrah umefanyika hapa Tehran.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yatahadharisha kuhusu machafuko ya Iraq
Oct 03, 2019 09:55Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa serikali na taifa la Iraq halitawaruhusu maadui na wageni kudumisha harakati zao na kutumia vibaya hali ya sasa nchini humo.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kusimama kidete taifa la Iran mbele ya mfumo wa kibeberu
Oct 03, 2019 08:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa za Marekani zimeshindwa na kugonga ukuta.
-
Lavrov akaribisha ubunifu wa Iran kuhusu eneo la Ghuba ya Uajemi
Oct 03, 2019 00:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa wito wa kupewa mazingatio zaidi pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Kiongozi Muadhamu: Mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani yamefeli
Oct 02, 2019 08:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia kufeli siasa za Marekani za kuiwekea Iran mashinikizo makubwa kupindukia na kutosalimu amri Tehran mbele ya mashinikizo ya mfumo wa kibeberu akisisitiza kuwa, Iran itaendelea kwa nguvu zote kupunguza ahadi zake ndani ya JCPOA hadi itakapofikia lengo lililokusudiwa.
-
Rais Rouhani: Nguvu za taifa la Iran zimeongezeka sana hivi sasa licha ya mashinikizo makubwa ya maadui
Oct 02, 2019 07:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia mashinikizo ya maadui dhidi ya taifa la Iran na kusisitiza kuwa, nafasi ya taifa kubwa la Iran imekuwa kubwa zaidi kuliko huko nyuma baada ya mwaka mmoja na nusu wa mashinikizo na vikwazo vya mfululizo vya kiuchumi vya maadui.
-
Udharura wa kukabiliana na mielekeo ya upande mmoja ya Marekani; mhimili wa hotuba ya Rais wa Iran katika mkutano wa Eurasia
Oct 02, 2019 04:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri yay Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kukabiliana na mielekeo ya kihasama na ya kujichukulia hatua za upande mmoja ya Marekani.
-
Rais Rouhani: Jamii ya Kimataifa inahitaji mashirikiano ya kiuchumi ya baina ya pande kadhaa na ya kikanda
Oct 02, 2019 01:06Rais Hassan Rouhani ameashriia vikwazo chungu nzima vinavyowekwa katika uhusiano wa kiuchumi baina ya nchi, ongezeko la kila uchao la umasikini, kukosekana usalama, uhajiri na kupungua ukuaji wa uchumi duniani na akasisitiza kwa kusema: Mfumo wa Kimataifa unahitaji mashirikiano ya kiuchumi ya baina ya pande kadhaa na ya kikanda.
-
Rouhani: Iran inataka kuimarisha uhusiano na majirani zake
Sep 30, 2019 23:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inatoa kipaumbele katika siasa zake za kigeni suala la kuimarisha ushirikiano na majirani zake.