-
Kumbukumbu ya kuanza vita vya kulazimishwa, maonyesho ya uwezo wa kijeshi wa Iran
Sep 22, 2019 04:49Tarehe 31 Sharivar sawa na tarehe 22 Septemba, inasadifiana na kuanza vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran.
-
Rouhani: Iran iko tayari kunyoosha mkono wa urafiki kwa jirani zake
Sep 22, 2019 04:46Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ipo tayari kunyoosha mkono wa urafiki kwa jirani zake, sambamba na kusamehe makosa yaliyofanywa na baadhi ya nchi hizo.
-
Meja Jenerali Hussein Salami: Iran imejiandaa kikamilifu kujibu uvamizi wa aina yoyote ile dhidi yake
Sep 21, 2019 23:02Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, Iran imejiandaa kikamilifu kujibu uvamizi wa aina yoyote ile dhidi yake.
-
SEPAH: Iran imejitosheleza kikamilifu katika uga wa mifumo ya ngao za makombora
Sep 21, 2019 07:53Kamanda wa kikosi cha anga na anga za mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa Iran ni moja ya nchi tano za mwanzo duniani katika uga wa kuunda ndege zisizo na rubani (droni) na imefikia kiwango cha kujitosheleza kikamilifu katika kuunda rada na mifumo ya kurushia makombora.
-
Iran kuendelea kuimarisha makombora yake ya balistiki licha ya kelele za Marekani
Sep 21, 2019 03:12Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuimarisha mfumo wake wa makombora ya balistiki licha ya kelele za Marekani.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Marekani sasa imeamua kutumia silaha ya uongo dhidi ya Iran
Sep 20, 2019 10:25Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuhusu uzushaji tuhuma wa Marekani dhidi ya Iran katika kadhia ya Yemen kwamba: Marekani imeamua kutumia silaha ya uongo dhidi ya Iran.
-
Zarif: Mafuta ya Waarabu ni muhimu zaidi kwa Trump kuliko damu zao
Sep 20, 2019 03:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, siasa za Marekani kuhusiana na vita vya Yemen zimeonesha kuwa, mafuta ya Waarabu ni muhimu zaidi na yana thamani zaidi kuliko damu zao kwa serikali ya Washington.
-
Vikwazo dhidi ya Iran; radiamali ya Marekani juu ya kudhalilishwa Saudia katika shambulio la Aramco
Sep 20, 2019 03:34Baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Saudi Arabia Aramco, kushambuliwa kwa ndege zisizokuwa na rubani na jeshi la Yemen, kwa mara nyingine tuhuma za Marekani zimekuwa zikielekezwa kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Mashambulizi dhidi ya Iran yatasababisha vita kubwa
Sep 19, 2019 22:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Iran iko tayari kujihami wakati wowote ule na kwamba, shambulizi lolote dhidi ya Iran litasababisha vita vya pande zote na kupelekea kuuawa idadi kubwa ya wavamizi.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani vinawalenga wananchi wa kawaida wa Iran
Sep 19, 2019 09:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kutangaza vikwazo vipya dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, kushadidishwa ugaidi huo wa kiuchumi kwa mara nyingine kumeonesha namna Washington inavyowalenga Wairani wa kawaida.