-
Salehi: Iran inaendelea na miradi yake ya nyuklia kwa nguvu zake zote
Aug 29, 2019 07:45Mkuu wa Taasisi ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa, shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zinaendelea kwa nguvu zote katika vitengo vyake vyote na kwamba miradi ya nyuklia ya Iran haijawahi kusimamishwa hata mara moja.
-
Kudumu kwa JCPOA kunategemea hatua za kivitendo za Ulaya, si kufanya mazungumzo na Marekani
Aug 29, 2019 07:43Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaruhusu Marekani iyatumie vibaya kwa manufaa yake mazungumzo ya Iran na nchi za Ulaya.
-
Pompeo aendelea kutishia: Tutaendeleza mashinikizo dhidi ya Iran
Aug 29, 2019 03:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa mara nyingine tena amesema kuwa mashinikizo dhdi ya Iran yataendelea hadi hapo nchi hii itakapobadili mwelekeo wake.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran litashinda vita vya kiuchumi kwa umoja na muqawama
Aug 28, 2019 22:07Rais Hassan Rouhani amesema, wananchi wa Iran watashinda vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kwa umoja wao na muqawama.
-
Safari ya Dakta Zarif nchini Japan; usalama wa eneo kwa mtazamo wa Tehran na Tokyo
Aug 28, 2019 07:01"Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Japan zina manufaa ya pamoja hususan katika usalama wa soko la nishati na vilevile uthabiti katika Ghuba ya Uajemi".
-
Vaezi: Ujumbe wa masuala ya uchumi wa Iran kuelekea Ufaransa wiki ijayo
Aug 28, 2019 06:51Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ujumbe wa kiuchumi wa Iran wiki ijayo utafanya safari nchini Ufaransa.
-
Majeshi ya Iran yako tayari kukabiliana na maadui
Aug 28, 2019 03:33Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema majeshi yote ya Iran yako katika hali ya juu ya utayarifu wa kukabiliana na maadui.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Libya wakutana Japan pembizoni mwa kikao cha TICAD
Aug 28, 2019 02:47Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Libya wamekutana nchini Japan na kujadili matukio ya hivi karibuni nchini Libya na eneo zima la Afrika Kaskazini.
-
Zarif: Siasa za Marekani dhidi ya Iran na China ni ugaidi wa kiuchumi
Aug 27, 2019 23:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inaendesha siasa za aina moja dhidi ya Iran na China na kwamba siasa zake hizo ni ugaidi wa kiuchumi na ni muendelezo wa mashinikizo na uingiliaji kati wa dola hilo la kibeberu katika masuala ya nchi huru duniani.
-
Rouhani: Iran haitaki ugomvi na nchi za dunia
Aug 27, 2019 07:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki ugomvi bali inachopigania ni usalama wa kieneo na kimataifa na vile vile kushirikiana vizuri na nchi rafiki.