-
Zarif: Iran itatetea na kulinda maslahi yake
Aug 27, 2019 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaki kuingia vitani lakini italinda na kutetea maslahi yake.
-
Zarif akiwa Beijing; ramani ya njia ya miaka 25 ya kutekeleza ushirika wa kistratijia baina ya Iran na China
Aug 27, 2019 02:52Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akiwa anaongoza ujumbe wa ngazi za juu, Jumapili alitembelea China.
-
Iran ishamfahamisha Macron haifanyi mazungumzo kuhusu makombora
Aug 26, 2019 23:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikataa pendekezo la Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa la kuweka kadhia ya makombora ya kujihami ya Iran katika ajenda ya mazungumzo mapya.
-
Safari ambayo haikutarajiwa ya Zarif nchini Ufaransa; muendelezo wa mazungumzo, mara hii Bairritz
Aug 26, 2019 08:58Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Jumapili alasiri alielekea Ufaransa katika safari ambayo haikuwa imetaraijiwa kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian kwa lengo la kuendelea na mazungumzo kuhusu ubunifu wa hivi karibuni wa marais wa Iran na Ufaransa kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake
Aug 26, 2019 07:31Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi za Lebanon, Iraq na Syria na kusema kuwa, utawala huo unapaswa ukubali taathira mbaya za uchokozi huo.
-
Seneta wa Marekani akiri, siasa za nje za Iran ni kiboko yao..
Aug 26, 2019 03:30Seneta wa chama cha Republican cha Marekani amekiri kuwa, kuhudhuria Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika kikao cha viongozi wa G7 nchini Ufaransa bila ya kushauriwa Marekani ni ishara ya uwezo na nguvu ya siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Dehqan: Iran haitafanya mazungumzo yoyote na rais Trump wa Marekani
Aug 25, 2019 21:11Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu hataifanya mazungumzo na utawala wa sasa wa Marekani."
-
Rais wa Ufaransa akabidhiwa jukumu la kufikisha ujumbe wa G7 kwa Iran
Aug 25, 2019 08:31Kundi la G7 linaloundwa na madola saba makubwa ya viwanda duniani limemkabidhi Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa jukumu la kufikisha ujumbe na kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Jaribio la kombora la Marekani litazusha mashindano ya silaha duniani
Aug 24, 2019 22:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelezea wasiwasi wake kutokana na Marekani kufanyia majaribio kombora lake la masafa ya wastani na kusema kuwa, jaribio hilo litazusha ushindani wa silaha ulimwenguni.
-
Mahojiano ya Zarif na Euronews na sera za Marekani na taathira za kukiuka makubaliano ya kimataifa
Aug 24, 2019 08:22"Makubaliano ya nyuklia ya (JCPOA) hayakuwa makubaliano ya upande mmoja bali makubaliano yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa."