-
Dakta Zarif: Madola ya Ulaya yatekeleze kivitendo ahadi zao za JCPOA
Aug 24, 2019 07:53Waziri wa Mashauri yay Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo madola ya Ulaya yatatekeleza kivitendo ahadi zao za makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, basi Iran nayo iko tayari kuachana na hatua ilizochukua za kupunguza uwajibikaji wake kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran watasimama kidete mbele ya njama za maajinabi
Aug 24, 2019 03:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za maadui ambao wanalenga kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu na kusisitiza kuwa: "Wananchi wa Iran wamesimama kidete mbele ya njama za maajinabi"
-
Salami: Usalama Ghuba ya Uajemi utapatikana kwa ushiriki wa Iran
Aug 24, 2019 03:02Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: "Usalama katika Ghuba ya Uajemi utapatikana kwa uwepo wa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Rais wa Ufaransa
Aug 23, 2019 22:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ufaransa mjini Paris.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Jamhuri ya Kiislamu imepata mafanikio kutokana na kusimama kidete
Aug 23, 2019 06:28Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, wananchi wa Iran hawataachana na mapinduzi yao kutokana na mashinikizo ya adui na kusisitiza kuwa, sasa maadui hao wamekiri na kuvulia kofia ungangari na kusimama kidete kwa taifa la Iran.
-
Mfumo wa makombora wa Bavar-373, kuongezeka uwezo wa jeshi la anga la Iran
Aug 23, 2019 04:23Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Sekta ya Viwanda vya Zana za Kujihami, Alkhamisi ya jana Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu alizindua rasmi mfumo wa makombora ya masafa marefu wa Bavar-373.
-
Rouhani: Kujiondoa Marekani katika JCPOA kuna maana ya kukiuka makubaliano ya kimataifa na ugaidi wa kiuchumi
Aug 22, 2019 22:15Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuna maana ya kuvunja mkataba, kukiuka ahadi, kupuuza makubaliano ya kimataifa na ugaidi wa kiuchumi.
-
Zarif: Marekani haina uwezo wa kuvuruga usalama wa Ghuba ya Uajemi
Aug 22, 2019 22:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya juhudi zake zote kulinda usalama wa Ghuba ya Uajemi na kwamba Marekani haina uwezo wa kuvuruga usalama wa eneo hilo.
-
Meja Jenerali Salami: Siasa za maadui ni kuwagombanisha wananchi na mfumo wa Iran
Aug 22, 2019 07:42Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amekitaja kitendo cha kuwagombanisha wananchi na mfumo wa utawala kuwa ni saisa kuu zinazotekelezwa na maaduu katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani azindua rasmi mfumo wa makombora wa Bavar-373
Aug 22, 2019 02:45Sambamba na maadhimisho ya Siku ya Sekta ya Ulinzi ya Iran tarehe 22 Agosti, Rais Hassan Rouhani leo amezindua rasmi mfumo wa makombora uliotengenezwa na wataalamu wa hapa nchini wenye uwezo wa kupiga shabaha masafa marefu wa Bavar-373.