-
Zarif: Nchi za Ulaya bado hazijatekeleza ahadi zao katika mapatano ya JCPOA
Aug 21, 2019 20:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kufungamna Iran na mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) na kusema: "Baada ya Mareakni kujiondoa katika mapatano haya, nchi za Ulaya hazijatekeleza ahadi zao."
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Adui hathubutu kufanya upuuzi wowote; bila shaka miaka arobaini ya pili itakuwa bora zaidi
Aug 21, 2019 08:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria maendeleo na kuongezeka uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja za kisiasa, kiulinzi na kiuchumi na kusisitiza kuwa: Adui hathubutu kufanya upuuzi wowote; na ni wazi kuwa katika miaka 40 ya pili hali ya Jamhuri ya Kiislamu itakuwa bora zaidi kuliko miaka 40 ya awali; na hali ya maadui itakuwa mbaya zaidi.
-
Mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran; Nguvu kuu na isiyo na shaka katika eneo
Aug 21, 2019 08:12Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limetoa taarifa kuadhimisha Siku ya Sekta ya Ulinzi nchini Iran na kuyataja mafanikio katika sekta hiyo ya ulinzi hapa nchini kuwa ni nguvu kuu na isiyo na shaka katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran, mdhamini wa usalama wa Lango Bahari la Hormuz
Aug 21, 2019 07:56"Kupita kwenye Lango Bahari la Hormuz ni huru kwa wote na Iran inadhamini usalama wa lango bahari hilo".
-
Balozi wa Iran UN: Madola ya kigeni yasiingilie suala la usalama wa Ghuba ya Uajemi
Aug 21, 2019 03:24Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameyataka madola ya kigeni kutoingilia suala la usalama katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Larijani: Trump anafananisha medani ya siasa na ukumbi wa michezo ya kuigiza
Aug 20, 2019 22:45Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani amekosea kufananisha medani ya siasa za uwanja wa michezo ya kuigiza na hatua hii inatoa pigo kwa hadhi ya taifa la Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na mwenzake wa Sweden
Aug 20, 2019 08:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif leo ameendelea na mazungumzo na wakuu wa nchi za Ulaya kwa kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden mjini Stockholm.
-
Shamkhani: Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran yamefeli
Aug 20, 2019 08:48Taifa la Iran linafahamu kuwa utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umefeli katika 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Iran.
-
Admeri Tangsiri: Hatutakubali kabisa Marekani na Uingereza ziwepo katika Ghuba ya Uajemi
Aug 20, 2019 03:34Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inazitangazia nchi za eneo na ulimwengu mzima kwamba, haitakubali kabisa uwepo wa Marekani, Uingereza na nchi nyingine yoyote ile itakayotaka kuzusha moto katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Zarif: Iran haina hamu ya kufanya mazungumzo na serikali ya Washington
Aug 19, 2019 22:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Tehran haina hamu ya kufanya mazungumzo na Washington na upatanishi wa aina yoyote ule baina ya pande mbili unapaswa kujikita katika suala la kuirejesha Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.