-
Zarif: Iran haina hamu ya kufanya mazungumzo na serikali ya Washington
Aug 19, 2019 22:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Tehran haina hamu ya kufanya mazungumzo na Washington na upatanishi wa aina yoyote ule baina ya pande mbili unapaswa kujikita katika suala la kuirejesha Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sisitizo la Jeshi la Majini la Iran kuwa tayari kukabiliana na njama za maadui
Aug 19, 2019 07:17Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeri Hossein Khanzadi amesema majeshi ya majini ya Iran yako tayari kukabiliana na njama za maadui. Ameongeza kuwa: "Adui anafahamu kuwa hata kama ameweka meli zake za kivita mamia ya maili kutoka mipaka ya majini ya Iran lakini iwapo atalenga kudhuru maslahi na mamlaka ya kujitawala Iran, hasi hataweza kutoroka."
-
Mazungumzo ya Dakta Zarif na Rais Sauli Niinistö wa Finland mjini Helsinki
Aug 19, 2019 07:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland na kujadili masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Iran: Njama za Maadui dhidi ya taifa la Iran zimegonga mwamba
Aug 19, 2019 03:45Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za maadui dhidi ya taifa la Iran zimeshindwa na kugonga ukuta.
-
Abbas Mousavi: Mazungumzo ya JCPOA kati ya Iran na Ulaya hayajafikia natija
Aug 19, 2019 03:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mwenendo wa mazungumzo ya Iran na madola ya Ulaya kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusema kuwa, mazungumzo kuhusiana na uwajibikaji wa Ulaya katika JCPOA hadi sasa hayajawa na natija.
-
Kikao cha pande tatu mjini Tehran; sisitizo la ulazima wa kusitishwa haraka vita na kupendekezwa utatuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Yemen
Aug 18, 2019 22:12Tehran mji mkuu wa Iran, Jumamosi ya juzi ulikuwa mwenyeji wa kikao cha pande kadhaa kuhusiana na utatuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Yemen.
-
Zarif ahimiza kusainiwe mapatano ya kutoshambuliana, Ghuba ya Uajemi
Aug 18, 2019 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza tena udharura wa kuwepo mazungumzo baina ya nchi za kanda ya Ghuba ya Uajemi kuhusu mkataba wa kutoshambuliana.
-
Wanadiplomasia wa Iran, Ansarullah na Ulaya wataka mgogoro wa Yemen umalizike
Aug 17, 2019 23:04Wawakilishi wa Iran, Harakati ya Ansarullah ya Yemen na nchi nne muhimu za Ulaya wamekutana na kusisitiza kuhusu umuhimu wa kumaliza vita haribifu vinavyoendelea dhidi ya Yemen.
-
Brigedia Jenerali Baqeri: Iran imebadilisha vikwazo kuwa fursa ya kujiimarisha
Aug 17, 2019 08:52Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vya kidhalimu vya maadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa: "Iran imebadilisha vikwazo kuwa fursa ya kustawi kuelekea katika nguvu na uwezo mkubwa."
-
Larijani: Uingereza imelazimika kulegeza msimamo mkabala na nguvu ya Iran
Aug 17, 2019 02:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezungumzia suala la kuachiwa meli ya mafuta ya Iran ya Grace-1 na kueleza kuwa Uingereza imelazimika kusalimu amri mbele ya nguvu ya Iran.