-
Kilele cha maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 10, 2020 05:12Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo huu wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kufuata kigezo cha Qur'ani katika kupambana na Uistikbari
Feb 04, 2020 01:14Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo mwengine wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia namna mapinduzi hayo yanavyofuata kigezo cha mafundisho ya Qur'ani kwa ajili ya kupambana na Uistikbari duniani. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Fatimatu Zahra katika Suratu Dahr (Insan)
Feb 02, 2020 04:17Wanahistoria na wapokezi wa hadithi wameandika kuwa, siku moja Hassan na Hussein wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw) walipatwa na maradhi wakiwa watoto wadogo.
-
Kipindi maalumu cha ukumbusho wa kuuawa shahidi Bibi Fatiimah AS
Jan 27, 2020 07:28Mji mtakatifu wa Madina ulikuwa ungali unaomboleza kifo cha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) ambapo msiba mwingine mkubwa uliukumba mji huo kutokana na kifo cha kushtua cha binti yake mwema Bibi Fatwimat az-Zahra (as).
-
Bibi Fatimatu al Zahra (as) katika Ayatu Tat'hir
Jan 15, 2020 07:49إِنَّما یُرِیدُ اللَّهُ لِیُذْهِبَ عَنْکُمُ الرِّجْسَ أَهْلَ الْبَیْتِ وَ یُطَهِّرَکُمْ تَطْهِیراً
-
Hadhrat Fatima (as) katika Suratul Kauthar
Jan 13, 2020 10:53Kwa mujibu wa baadhi ya nukuu za historia, Bibi Fatma Zahra binti wa Mtume Muhammad SAW alikufa shahidi tarehe 13 Jamadil Awwal baada ya kuishi maisha mafupi lakini yaliyojaa baraka tele.
-
Siku ya Kimataifa ya Mshikamano wa Binadamu
Jan 13, 2020 10:26Azimio la Milenia la Umoja wa Mataifa limeutangaza mshikamano kuwa ni miongoni mwa thamani za kimsingi katika mahusiano ya kimataifa katika karne ya 21.
-
Sheikh Zakzaky na dhulma za kimyakimya dhidi ya Waislamu wa Nigeria
Jan 13, 2020 10:26Nigeria ina historia ya ukandamizaji wa harakati za Kiislamu. Ukatili, mauaji na ukandamizaji wa harakati za Kiislamu nchini Nigeria vilishadidi zaidi mwaka 2011.
-
Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika
Jan 12, 2020 08:48مِنَ الْمُؤْمِنِینَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللَّهَ عَلَیْهِ فَمِنْهُمْ مَنْ قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَنْ یَنْتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِیلًا
-
Kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Bibi Zainab AS
Dec 31, 2019 03:42Bibi Zainab (sa) alijipamba kwa sifa na fadhila nyingi nzuri na za kupigiwa mfano kadiri kwamba sifa hizo bora zilimfanya kuwa bibi mwema aliyepaswa kuigwa na watu wengine. Alikuwa na tabia, fadhila na maadili mema mengi yaliyofanya kuwa na sifa za kipekee miongoni mwa watu na jamii aliyoishi ndani yake.