uncategorised
  • Kuchomoza jua la kumi na moja (Kuzaliwa Imam Hasan al Askari AS)

    Kuchomoza jua la kumi na moja (Kuzaliwa Imam Hasan al Askari AS)

    Dec 04, 2019 10:04

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika makala hii ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam wa 11 kutoka kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Hasan al Askari AS. Tutajaribu kutupia jicho kwa muhtasari ushahidi na sababu za udharura wa kuweko Imam wakati wote katika jamii kama ambavyo aidha tutazitumia dakika hizi chache kugusia sira za mtukufu huyo na miongozo yake mitukufu.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-4: Nafasi ya Umoja katika kuepusha chuki dhidi ya Uislamu

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-4: Nafasi ya Umoja katika kuepusha chuki dhidi ya Uislamu

    Nov 11, 2019 07:03

    Katika ulimwengu wa leo chuki dhidi ya Uislamu, au kwa jila la kiingereza Islamophobia, ni jambo linalopewa uzito na kuenezwa kwa namna maalumu katika vyombo vya habari vya nchi za Magharibi.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Nov 11, 2019 04:28

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja, sambamba na kusherehekea kuzaliwa mbora wa viumbe Bwana Mtume Muhammad SAW. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya kipindi kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2  (Ruwaza Njema)

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2 (Ruwaza Njema)

    Nov 11, 2019 04:26

    Alipozaliwa alipewa jina la Muhammad lenye maana ya msifiwa. Jina hili hakuwahi kupewa kiumbe mwingine kabla yake yeye. Jina hilo, kama alivyokuwa yeye mwenyewe, liliteuliwa na Mwenyezi Mungu Muweza na lilitajwa katika vitabu vya Mitume waliotangua.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-1 (Mtindo wa Maisha ya Mtume SAW Katika Familia)

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-1 (Mtindo wa Maisha ya Mtume SAW Katika Familia)

    Nov 09, 2019 03:46

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizajii popote pale mlipo. Tumo katika siku tukufu za sherehe za kuadhimisha maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad (saw).

  • Maana ya kumsalia Mtume SAW na Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania (SAUTI)

    Maana ya kumsalia Mtume SAW na Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania (SAUTI)

    Nov 07, 2019 03:45

    Tumo ndani ya mwezi uliojaa baraka, mwezi mtukufu wa Mfunguo Sita, mwezi ambao ndio hushamiri na kuongezeka mno Maulid ya Bwana Mtume Muhammad SAW. Ni mwezi aliozaliwa mtukufu huyo wa daraja. Hapa tumekuwekeeni mawaidha maalumu kutoka kwa Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania kuzungumzia namna ya kumsalia Mtume ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa vipindi vyetu maalumu vya Mfunguo Sita.

  • Kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (as)

    Kuuawa shahidi Imam Hassan Askari (as)

    Nov 04, 2019 06:31

    Imam Hassan Askari (as) aliuawa shahidi mwaka 260 Hijiria sawa na mwaka 873 Miladia kutokana na njama iliyofanywa katika siku kama hizi na mmoja wa watawala dhalimu wa Bani Abbas.

  • Hijra ya Mtume (saw) kutoka Makka hadi Madina

    Hijra ya Mtume (saw) kutoka Makka hadi Madina

    Oct 30, 2019 06:49

    Jumatano ya wiki hii tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal ilisadifiana na siku ya Hijra ya Mtume wetu Muhammad (saw) kutoka Makka na kuhamia Madina na inakumbusha tukio maarufu la "Lailatul Mabiit', usiku ambao ndani yake Amirul Muuminin Ali bin Abi Twalib (as) alisabilia nafsi yake kwa kulala katika kitanda cha Mtume wakati mtukufu huyo alipoondoka Makka akielekea Madina.

  • "Lulu ya Marw"; Kwa Mnasaba wa Kufa Shahidi Imam Ali Ibn Musa Ridha (AS)

    Oct 28, 2019 08:27

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar na katika siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam wa Nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, mtukufu Ali Ibn Musa Ridha (as), haram ya Imam huyo mkarimu katika mji mtukufu wa Mashhad, imefurika umati wa wafanyaziara na wakazi wa jirani yake, waliosalia nyuma ya msafara wa ziara ya Karbala, ambao kwa kuikosa fursa hiyo adhimu, wamekimbilia kwenye haram ya Imam na maulana wao, Ali Ibn Musa Ridha (as).