Nov 07, 2019 07:15 UTC

Tumo ndani ya mwezi uliojaa baraka, mwezi mtukufu wa Mfunguo Sita, mwezi ambao ndio hushamiri na kuongezeka mno Maulid ya Bwana Mtume Muhammad SAW. Ni mwezi aliozaliwa mtukufu huyo wa daraja. Hapa tumekuwekeeni mawaidha maalumu kutoka kwa Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania kuzungumzia namna ya kumsalia Mtume ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa vipindi vyetu maalumu vya Mfunguo Sita.

Tags