-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Nov 11, 2019 07:58Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja, sambamba na kusherehekea kuzaliwa mbora wa viumbe Bwana Mtume Muhammad SAW. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya kipindi kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2 (Ruwaza Njema)
Nov 11, 2019 07:56Alipozaliwa alipewa jina la Muhammad lenye maana ya msifiwa. Jina hili hakuwahi kupewa kiumbe mwingine kabla yake yeye. Jina hilo, kama alivyokuwa yeye mwenyewe, liliteuliwa na Mwenyezi Mungu Muweza na lilitajwa katika vitabu vya Mitume waliotangua.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-1 (Mtindo wa Maisha ya Mtume SAW Katika Familia)
Nov 09, 2019 07:16Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizajii popote pale mlipo. Tumo katika siku tukufu za sherehe za kuadhimisha maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad (saw).
-
Maana ya kumsalia Mtume SAW na Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania (SAUTI)
Nov 07, 2019 07:15Tumo ndani ya mwezi uliojaa baraka, mwezi mtukufu wa Mfunguo Sita, mwezi ambao ndio hushamiri na kuongezeka mno Maulid ya Bwana Mtume Muhammad SAW. Ni mwezi aliozaliwa mtukufu huyo wa daraja. Hapa tumekuwekeeni mawaidha maalumu kutoka kwa Sheikh Abdul Razzak Amir Juma wa Arusha Tanzania kuzungumzia namna ya kumsalia Mtume ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa vipindi vyetu maalumu vya Mfunguo Sita.
-
Ruwaza Njema (28)
Sep 29, 2019 06:08Assalaam Aleikum wapenzi wasikiliza na karibuni kusikiliza kipindi kingine cha Ruwaza Njema ambacho kinakujieni kupitia Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutanagazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (27)
Sep 29, 2019 06:04Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Tuna furaha kukutana nanyi tena katika makala nyingine ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema, hii ikiwa ni sehemu ya 27 ya kipindi hiki.
-
Ruwaza Njema (26)
Sep 29, 2019 06:01Assalaam Alaikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (25)
Sep 29, 2019 05:55Assalaama Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (24)
Sep 29, 2019 05:50Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.
-
Ruwaza Njema (22)
Sep 18, 2019 11:32Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu inayokutangazieni kutoka mjini Tehran.