-
Sheikh Maulid Hussein Kundya na kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS - Sauti
Oct 21, 2019 08:41Mwaka huu kama ilivyo miaka mingine yote, kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS zimefanyika kwa kufana mno katika kona zote za dunia. Hapa tumekuwekea mawaidha ya Sheikh Maulid Hussein Kundya wa Arusha Tanzania kuhusu masaibu wa Imam Husain AS huko Karbala katika mwaka wa 61 Hijria.
-
Mahojiano maalumu ya Salum Bendera na baadhi ya mazuwwar katika Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as)
Oct 20, 2019 04:38Katika miaka ya hivi karibuni Mashaya (matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein as) yamechukua mkondo mpana zaidi ambapo mamilioni ya Waislamu na wasiokuwa Waislamu hushiriki katika kumbukumbu hii.
-
Historia ya Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 20, 2019 04:03Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.
-
Kujibu upotoshaji wa BBC, Arubaini ya Imam Husain AS si kueneza ukahaba + Sauti
Oct 17, 2019 08:00Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuhu. Wapenzi wasikilizaji, neno mashaya hivi sasa limeingia katika msamiati wa kidini na kupata nguvu hasa kati ya jamii ya Waislamu ya wapenzi na maashiki wakubwa wa Ahlul Bayt wa Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Kufa shahidi Hadhrat Ruqayyah binti Hussein (as)
Oct 15, 2019 07:34Tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria ilitokea hamasa na mapambano makubwa yatakayobakia hai katika historia ya mwanadamu.
-
Upeo wa kimataifa wa Arubaini ya Imam Hussein (as) + Video
Oct 14, 2019 10:50Arubaini ya Imam Hussein (as) imekuwa ni ya kimataifa na itaendelea kupanuka zaidi katika upeo huo. Hii ni damu ya Hussein bin Ali (as) ambayo licha ya kupita miaka 1400, ingali inachemka na kuendelea kuwa mpya na hai zaidi siku baada ya nyingine. Huu ndio ujumbe ule ule wa Siku ya Ashura uliopazwa kupitia koo za Aba Abdillah al-Hussein (as) na Bibi Zainab (sa) katika kipindi kigumu zaidi cha upweke wao. Pamoja na hayo, hii leo ujumbe huo umeenea na kufika katika kila pembe ya dunia.
-
Kushirikiana Marekani na Ulaya kuiwekea mashinikizo Uturuki baada ya kugundua gesi
Oct 07, 2019 23:47Uhusiano wa Uturuki na Marekani hasa baada ya kufeli jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 15 Julai 2016, umeendelea kugubikwa na mizozo mingi.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Sajjad AS + Sauti
Sep 11, 2019 02:46Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika dakika hizi ambazo ndani yake tutazungumzia kuuawa shahidi Imam Ali bnil Husain Zaynul Abidin AS. Karibuni. ******
-
Trump afutilia mbali kikao cha siri na Taliban
Sep 09, 2019 01:33Katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliahidi kuwaondoa askari wote wa Marekani wanaohudumu Afghanistan.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji: Muamala wa Karne utasambaratika kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama.
Aug 10, 2019 07:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa mataifa ya Waislamu kuungana kukabiliana na njama za maadui huku akikisitiza kuwa 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina utafeli kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama.