-
Nafasi ya Qur'ani Tukufu katika mapambano ya Imam Husain AS (1)
Sep 11, 2018 03:16Mapambano ya Karbala na Hamasa ya Imam Husain AS alikuwa ni mapinduzi ya kipekee ambayo yaliweza kwa haraka mno kushinda mapinduzi mengine yote, kuwafedhehesha madhalimu, kufichua uovu wao na kusafisha vumbi la propaganda chafu lililokuwa limefunika uhakika wa dini tukufu ya Kiislamu.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (1)
Sep 11, 2018 03:12Katika kipindi hiki cha Maswali Kuhusu Tukio la Ashura, tunakusudia kujibu baadhi ya maswali ambayo huenda yakawa yanaulizwa na baadhi ya watu kuhusiana na tukio hili.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-3
Sep 09, 2018 09:48Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-2
Sep 09, 2018 09:42Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya pili ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomeini (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-1
Sep 09, 2018 09:38Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Hekima na busara katika fikra za Imam Musa al Kadhim AS
Aug 31, 2018 21:35Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami hadi mwisho wa makala hii.
-
Historia fupi ya tukio la Ghadir
Aug 29, 2018 11:58Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya sikukuu ya Ghadir. Katika dakika hizi chache, tutazungumzia kwa muhtasari kuhusu sikukuu hii adhimu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi. *****
-
Taarifa ya HAMAS kwa mnasaba wa mwaka wa 49 tokea kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa
Aug 21, 2018 21:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, Wapalestina wataendeleza mapambano yao dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yenye lengo la kukombolewa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Ukosoaji wa Amnesty International kwa hatua ya Marekani na Ulaya ya kuiuzia silaha Saudi Arabia na Israel
Aug 21, 2018 08:20Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeikosoa Marekani na madola ya Ulaya na kuyataka yasitishe kuiuzia silaha Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel.
-
Hija na Visa Vyenye Ibra
Aug 19, 2018 07:44Assalamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Tuko kwenye msimu wa ibada tukufu ya Hija. Kwa mnasaba huo Radio Tehran imekuandalieni kipindi hiki maalumu cha Hija na Visa Vyenye Ibra. Kisa chetu cha kwanza kitahusu Hija ya Kudumu Daima Dawamu.