-
Utayarifu wa China wa kusaidia kustawisha uchumi wa Korea Kaskazini
Aug 05, 2018 20:48Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kuwa, Beijing itaisaidia Korea kaskazini katika kukuza uchumi na ustawi wa nchi hiyo.
-
Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq
Aug 03, 2018 20:55Marekani imeyataarifa makundi mbalimbali ya Iraq kwamba Haider al-Abadi ndiye chaguo la Washington kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Iraq.
-
Bahrain; uwanja wa maandamano makubwa dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
Jul 28, 2018 20:52Maelfu ya watu katika eneo la Diraz nchini Bahrain ambalo ndipo yalipo makazi ya Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni mtajika wa nchi hiyo wamefanya maandamano makubwa; na huku wakiwa wamebeba picha za alimu huyo ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi kwa matibabu wamepiga nara dhidi ya sera za mfumo unaotawala nchini humo ambao umekuwa ukikanyaga haki za maulama na wapinzani.
-
Kulegeza kamba White House kuhusiana na bwabwaja za Donald Trump dhidi ya Iran
Jul 24, 2018 20:49Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani imeshadidisha misimamo na hatua zilizo dhidi ya Iran.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali inayotia wasiwasi ya Ukanda wa Gaza
Jul 24, 2018 07:03Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali ya Ukanda wa Gaza ni ya "maafa" na ametahadharisha kwamba, hali hiyo itazidi kuwa mbaya.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi ya kigaidi; ukiukaji wa sheria za kimataifa
Jul 24, 2018 03:50Gholamali Khoshroo, mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametuma barua kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akitaka kusitishwa siasa za Marekani za kuliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO)
-
China yaikosoa Marekani kwa kuanzisha vita vya kibiashara duniani
Jul 19, 2018 22:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameikosoa Markeani kwa kuanzisha vita vya kibiashara duniani.
-
Siku ya Idadi ya Watu Duniani
Jul 14, 2018 08:16Tarehe 11 Julai mwaka huu dunia iliadhimisha Siku ya Idadi ya Watu Duniani. Tarehe 11 Julai mwaka 1989 alizaliwa mtu wa bilioni tano katika sayari hii ya dunia.
-
Ushirikiano wa tawala kandamizi na Marekani dhidi ya Iran; udharura wa kujifunza na kupata ibra kutokana na yaliyopita
Jul 07, 2018 21:56Katika miezi kadhaa ya hivi karibuni Rais Donald Trump wa Marekani amedhihirisha zaidi sera za uhasama na uadui za nchi hiyo dhidi ya Iran.
-
Ombi la Russia la kutaka kufutwa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Jul 05, 2018 05:22Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Jumatano akihutubia waandishi wa habari akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa Jordan Ayman Safadi mjini Moscow, alitangaza kuwa, vikwazo vyote dhidi ya Syria vinapaswa kuondolewa na Wasyria wasaidiwe kurejea katika nchi yao.