-
Kashfa kubwa zaidi ya kimaadili yaitikisa tena Hollywood
Oct 25, 2017 08:12Sekta ya filamu ya Hollywood huko Marekani imetengeneza filamu nyingi zinazozungumzia maudhui ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono na vilevile kashfa za ufuska na kadhalika.
-
Taarifa ya Umoja wa Ulaya; sisitizo la kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 25, 2017 00:30Jumatatu ya tarehe 22 Oktoba, Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya walitoa taarifa mwishoni mwa kikao chao huko Luxembourg ambayo ilisema kuwa umoja huo utaendelea kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Radiamali ya Wapalestina kwa njama za Israel za kukwamisha maridhiano ya kitaifa ya Palestina
Oct 19, 2017 00:30Habari kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kuendelea njama na ukwamishaji mambo wa Israel katika njia ya mwenendo wa maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina.
-
Uhalalishaji usio wa kimantiki wa Uingereza kuhusu kuiuzia silaha Saudi Arabia
Oct 12, 2017 23:01Baada ya serikali ya Uingereza kuandamwa na ukosoaji kutokana na hatua yake ya kuiuzia silaha Saudi Arabia na kisha Riyadh kuzitumia silaha hizo kuwaulia wanawake na watoto wa Yemen, Matthew Rycroft balozi na mwakilishi wa Uingereza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amejitokeza na kusema kuwa, nchi yake inafuatilia kwa makini jinsi silaha ilizouuzia utawala wa Aal Saud zinavyotumika.
-
Kuwakirimu wazee ni wajibu wetu sote
Oct 07, 2017 08:31Tarehe Mosi Oktoba dunia iliadhimisha Siku ya Wazee Duniani.
-
Spika Larijani: Wamarekani wanafanya uafiriti katika suala la nyuklia
Oct 06, 2017 20:43Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya chuki na njama za Wamarekani dhidi ya Iran kugonga mwamba baada ya ushindi wa mapinduzi ya Kiislamu, lakini hadi sasa wangali wanaendeleza hatua zao za chuki na wamekuwa wakifanya uafiriti katika kadhia ya nyuklia.
-
Uungaji mkono wa Waziri wa Ulinzi wa Marekani kwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 05, 2017 00:45James Mattis, Waziri wa Ulinzi wa Marekani amejiunga katika safu ya waungaji mkono wa kuendelea kuwepo makubaliano ya nyuklia JCPOA kwa kifupi.
-
Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi
Oct 01, 2017 23:00Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji, warahmatullahi wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kwa mara nyengine nyoyo za waliokomboka kifikra duniani zinajielekeza kwa Imam Hussein (as) huku macho yao yakibubujikwa na machozi kwa kulikumbuka tukio la Karbala. Ni miaka 1372 imepita tangu lilipojiri tukio hilo, lakini unapowadia mwezi wa Muharram kila mwaka, Waislamu huendelea kujumuika pamoja na kushiriki kwenye majlisi za kumuomboleza Hussein Ibn Ali (as) na wafuasi wake.
-
Ombi la Umoja wa Mataifa la kuanza mazungumzo nchini Togo
Sep 25, 2017 00:38Kufuatia kushtadi na kupanuka mgogoro wa kisiasa wa Togo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali na makundi yote ya kisiasa ya nchi hiyo kufanya mazungumzo chanya yatakayolikwamua taifa hilo kwenye mgogoro huo wa kisiasa.
-
Al-Kaaba na Imam Hussein (as)
Sep 24, 2017 08:59Kaaba ni jina kongwe, tukufu na linalovutia zaidi la nyumba ya ibada ya Mwenyezi Mungu ambayo inapatikana katika mji mtakatifu wa Makka na katika ardhi ya Hijaz.