-
Lebanon yakanusha madai ya kuwepo silaha katika ngome ya Hizbullah
Jun 09, 2025 07:42Jeshi la Lebanon linasema kuwa limekamilisha oparesheni zake za ukaguzi wa silaha na zana za kijeshi katika kitongoji cha Dahiyeh, kusini mwa Beirut, ngome ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, bila kupata chochote cha kutia shaka.
-
Jeshi la Israel lawateka nyara wanaharakti waliokuwa kwenye meli ya misaada kwa Gaza
Jun 09, 2025 03:42Wanajeshi wa utawala katili wa Israel wamewateka nyara wanaharakati waliokuwa ndani ya meli ya misaada ya kibinadamu Madleen iliyokuwa ikielekea Gaza, Jumapili usiku.
-
"Kuuawa viongozi wa Muqawama kunaimarisha irada ya Wapalestina"
Jun 08, 2025 23:19Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imelaani vikali mauaji ya Israel dhidi ya afisa mashuhuri wa Muqawama na watu wengine 30 katika mji wa Gaza na kusisitiza kuwa, mauaji hayo yanayolenga viongozi wa mrengo wa mapambano kamwe hayatadhoofisha uthabiti na azma ya wananchi wa Palestina.
-
Umoja wa Mataifa: Gaza imegeuka na kuwa Jahannamu; njaa inaondoka na roho za watoto
Jun 08, 2025 23:18Mashirika ya Umoja wa Mataifa, yakiashiria kwamba mpango wa Marekani na Israel wa kusambaza misaada huko Gaza una hatari kubwa, yamesisitiza: Gaza imekuwa jehanamu ya kweli na sasa njaa inatishia maisha ya watoto wasiopungua 71,000.
-
Mkuu wa zamani wa jeshi la Israel: Hatuna namna ila kuondoka Ghaza
Jun 08, 2025 02:49Mkuu wa zamani wa jeshi la Israel ameikosoa serikali ya Benjamin Netanyahu kwa kukosa mkakati imara huko Ghaza akigusia pigo walilopata hivi karibuni wanajeshi wa utawala wa Kizayuni na kusema kuwa, Israel haina njia nyingine isipokuwa kukimbia kwenye ukanda wa Ghaza.
-
UNICEF yaonya tena dhidi ya mauaji ya Watoto Gaza
Jun 08, 2025 00:17Msemaji wa Mfuko wa Kuhuduumia Watoto wa Uumoja wa Mataifa (UNICEF) huko Palestina ametangaza kuwa: Mauaji ya watoto wasio na hatia na yanayoendelea Gaza yamechochea hasira ya walimwengu.
-
Wapalestina Gaza wameswali Idi juu ya magofu ya misikiti, Israel yaendeleza jinai
Jun 07, 2025 09:16Wapalestina kote Ukanda wa Gaza wameswali Swala ya Idul Adha juu ya magofu ya misikiti iliyoharibiwa na vita vya kinyama vya utawala wa Israel dhidi ya eneo hilo.
-
Hamas: Tutaendeleza mapambano hadi tone la mwisho la damu
Jun 07, 2025 03:29Msemaji wa Brigedi za al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesisitiza kwamba operesheni za wanamuqawama dhidi ya uvamizi wa Israel zitaendelea "hadi pale utawala wa Kizayuni utakaposhindwa."
-
UNICEF na WFP: Hali ya watoto Ukanda wa Gaza ni mbaya mno
Jun 06, 2025 23:00Mashirika na asasi mbalimbali za kimataifa zimeendelea kuonya kuhusiana na hali mbaya inayowakabili watoto katika Ukanda wa Gaza.
-
Marais wa Iran na Misri watangaza dhamira ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jun 06, 2025 08:15Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, na Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi, wametangaza azma ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano baina ya mataifa yao mawili.