-
Hamas: 'Jinamizi' la shahidi Deif linaendelea kuwaandama wahalifu wa kivita wa Israel
Jul 14, 2025 09:38Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imesema urithi wa kamanda aliyeuawa shahidi Mohammad Deif utaendelea kuwaandama wahalifu wa kivita wa Israel kama "ndoto mbaya".
-
Je, ushirikiano wa serikali za Magharibi na Wazayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina una kiwango na mpaka?
Jul 14, 2025 08:16Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza katika indhari liliyotoa hivi karibuni kwamba hali ya huduma za afya katika Ukanda wa Ghaza imefikia kiwango cha maafa.
-
Waliouawa shahidi Ghaza wapindukia 58,000, Israel yaendeleza mashambulizi ya kinyama bila ya khofu
Jul 14, 2025 00:38Wapalestina wasiopungua 58,026 wameshuawa shahidi katika vita vya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 2023.
-
Olmert: Walowezi haramu wanafanya 'uhalifu wa kivita' Ufukwe Magharibi kwa uungaji mkono wa utawala
Jul 13, 2025 14:03Waziri mkuu wa zamani wa utawala wa kizayuni Israel Ehud Olmert amekiri kuwa walowezi haramu wa kizayuni wamekuwa wakifanya "uhalifu wa kivita" kila leo dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu huku wakilindwa na utawala wa Tel Aviv.
-
Hizbullah: Mauaji ya Sheikh Shahoud yanalenga kuvuruga umoja na mshikamano wa Syria
Jul 13, 2025 10:24Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya kiongozi maarufu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Rasoul Shahoud, aliyeuawa katika shambulizi lililotokea katika mkoa wa Homs, Syria ya kati.
-
Netanyahu: Ni kweli tuliwaua kigaidi wanasayansi wa nyuklia wa Iran
Jul 13, 2025 03:27Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekiri kwamba utawala huo wa Kizayuni uliwaua kwa utaratibu maalum wanasayansi wa nyuklia wa Iran.
-
Maafisa wa Syria na Israel wanatazamiwa kukutana Baku
Jul 13, 2025 02:18Maafisa wa Syria na Israel wanatazamiwa kukutana mjini Baku ili kujadili "uwepo wa hivi karibuni wa jeshi la Israel nchini Syria.
-
Jinai ya kutisha; Israel yaua shahidi Wapalestina 150 Gaza
Jul 13, 2025 02:02Wapalestina zaidi ya 150 wameuawa shahidi katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza, huku eneo hilo la pwani likishuhudia siku yake mbaya zaidi tangu mwezi Mei, wakati utawala wa Israel uliposhadidisha mauaji yake ya kimbari dhidi ya eneo hilo.
-
Tahadhari kuhusu joto na ukosefu wa maji ya kunywa Gaza
Jul 13, 2025 00:01Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetahadharisha kuhusu hali mbaya ya kiafya huko Gaza Palestina kutokana na ukosefu wa maji ya kunywa na usafi wa mazingira na matokeo ya joto.
-
Raia wa US apigwa hadi kufa na walowezi wa Kizayuni Ukingo wa Magharibi
Jul 12, 2025 09:41Walowezi wa Israel wamempiga hadi kufa kijana mmoja raia wa Marekani katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu, kwa mujibu wa familia yake na mashirika ya kutetea haki za binadamu.