-
Misri yatayarisha mpango mbadala wa kukabiliana na wa Trump huko Gaza
Mar 02, 2025 03:58Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina na sasa imetayari mpango mbadala.
-
HAMAS: Hadi sasa hakuna makubaliano yoyote kuhusu awamu ya pili ya mazungumzo ya Ghaza
Mar 01, 2025 23:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa, mazungumzo baina yake na utawala wa Kizayauni wa Israel yamesimama na hakuna maendeleo yoyote ya maana kuhusu awamu ya pili ya mazungumzo ya kusimamisha vita huko Ghaza.
-
Ansarullah: Israel inatumia uungaji mkono wa US kukiuka makubaliano
Mar 01, 2025 03:43Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Yemen inafuatilia kwa karibu utekelezwaji wa makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza na kuongeza kuwa, inashuhudia namna "adui Mzayuni" anakwepa kutekeleza majukumu yake.
-
GCC yataka kuchukuliwa "hatua madhubuti" dhidi ya mashambulizi ya Israel nchini Syria
Mar 01, 2025 01:04Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) limetoa mwito wa kuchukuliwa "hatua madhubuti" ili kukomesha mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Syria.
-
UN: Zaidi ya Wanafunzi 100,000 Wamerejea Shuleni Ukanda wa Gaza
Mar 01, 2025 00:19Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa zaidi ya wanafunzi 100,000 wamejiandikisha mashuleni katika Ukanda wa Gaza baada ya mwaka mpya wa masomo kuanza Februari 23, na kuashiria kurudi mashuleni wanafunzi baada ya muda mrefu wa kusimamishwa masomo kutokana na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kiziayuni wa Israel dhidi ya watu wa eneo hilo la Palestina.
-
Euro-Med Human Rights Monitor: Israel inatumia mateso kama silaha
Mar 01, 2025 00:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Monitor limeeleza mshtuko wake mkubwa kutokana na hali mbaya ya kiafya na kisaikolojia ya mahabusi wa Kipalestina walioachiwa huru katika awamu ya saba ya utekelezaji wa makubaliano ya kubadilishana mateka kati ya Hamas na utawala haramu wa Israel.
-
Israel yakiri rasmi kushindwa katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa
Feb 28, 2025 04:01Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kuwa, katika mashambulizi ya Oktoba 7 mwaka 2023 lilishindwa kuwahami walowezi wa utawala huo wanaoishi katika maeneo jirani na Gaza; na kwamba lilifeli katika masaa ya awali mkabala wa mashambulizi ya Hamas.
-
UN: Israel inakanyaga haki za binadamu Gaza, Ukingo wa Magharibi
Feb 27, 2025 07:31Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Israel umekuwa ukipuuza usio na kifani haki za binadamu" katika Ukanda wa Gaza, na kuitaja hali ya kibinadamu katika eneo hilo lililozingirwa kuwa "janga."
-
Israel inakusudia nini kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya Syria?
Feb 27, 2025 06:28Utawala wa Kizayuni wa Israel Jumatano Februari 26 ulishambulia mara kadhaa maeneo mbalimbali ya Syria na kuua na kujeruhi watu kadhaa.
-
UNRWA: Ukingo wa Magharibi ni 'uwanja wa vita', watu 50 wameuawa
Feb 27, 2025 04:39Wiki kadhaa za uvamizi wa kijeshi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu zimegeuza jamii za Wapalestina kuwa “uwanja wa vita” na kuwaacha watu 40,000 bila makazi, mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yameonya jana Februari 26, 2025.