-
Makumi ya mateka wa Kipalestina waachiliwa huru, Hamas yakabidhi maiti
Feb 26, 2025 23:48Makumi ya mateka wa Kipalestina wanaoishi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Quds wameachiliwa huru mapema leo Alkhamisi alfajiri ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya kubadilishana mateka kati ya Muqawama na Israel, na wamepokewa kwa shangwe kubwa Ramallah.
-
Kadi nyingine nyekundu yatolewa kwa Israel; mara hii ni nchini Malaysia
Feb 26, 2025 23:47Mashabiki wa soka wa Malaysia wamejiunga na kampeni ya 'Show Israel Red Card' yaani "Ionyeshe Israel Kadi Nyekundu" katika uuwanja wa soka ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa Palestina.
-
HAMAS: Mwafaka umefikiwa kuhusu Wapalestina 620 ambao Israel ilichelewesha kuwaachia huru
Feb 26, 2025 09:28Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, ujumbe wake umehitimisha ziara yake katika mji mkuu wa Misri Cairo na umefikia makubaliano na wapatanishi ya kutatuliwa ucheleweshaji uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuwaachilia huru wafungwa Wapalestina ambao ilipasa waachiliwe siku ya Jumamosi iliyopita kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya pande hizo mbili.
-
Waislamu Uhispania wahuisha mila ya karne 5 zilizopita ya Andalusia ya kwenda Hija kwa farasi
Feb 26, 2025 08:13Marafiki watatu kutoka Uhispania wameamua kutumia usafiri wa farasi katika safari yao ya kuelekea Makka, Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija yao kwa madhumuni ya kuhuisha mila na desturi ya tangu miaka 500 nyuma wa Waislamu wa Andalusia ya wakati huo.
-
Misri yakataa pendekezo la Wazayuni la kuitawala Gaza kwa miaka 8
Feb 26, 2025 03:10Cairo imekataa pendekezo la maafisa wa utawala za Kizayuni wa Isarel wanaotaka serikali ya Misri isimamia mamlaka ya Ukanda wa Gaza kwa miaka 8 hadi 15.
-
Mkutano wa Mazungumzo ya Syrian waitaka Israel kuondoa kwenye ardhi ya nchi hiyo
Feb 26, 2025 03:08Mkutano wa Kitaifa wa Mazungumzo ya Syria umeitaka Israel kuondoa katika ardhi ya nchi hiyo, na kusisitiza udharura wa kulindwa umoja wa ardhi ya Syria na kupinga kugawanywa nchi hiyo.
-
Barabara Ndefu Zaidi ya Chini ya Bahari Duniani Kuunganisha Iran na Qatar
Feb 25, 2025 22:48Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, aliyekuwa ziarani mjini Tehran wiki iliyopita, alisisitiza mpango wa pamoja kati ya nchi yake na Iran wa kuchimba njia ya chini ya Bahari katika Ghuba ya Uajemi, ambayo itaunganisha Iran na Qatar.
-
Watoto wachanga watano wafariki Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali
Feb 25, 2025 07:29Watoto wachanga watano wamefariki dunia katika Ukanda wa Ghaza kutokana na mgando wa baridi kali katika eneo hilo lililowekewa mzingiro na utawala wa Kizayuni wa Israel na kuzuiwa kuingizwa misaada ya kibinadamu ikiwemo ya vifaa vya huduma za tiba.
-
HAMAS: Kuwa na silaha ni haki ya kisheria ya Muqawama na kuachana nazo ni jambo lisilowezekana
Feb 25, 2025 06:16Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria matamshi yaliyonasibishwa na kiongozi mwandamizi wa harakati hiyo Musa Abu Marzouk na kusisitiza kwamba: "Hamas inaendelea kutumia silaha za Muqawama kama haki halali na ya kisheria na haitalegeza msimamo juu ya suala hilo".
-
Sayyid Hassan Nasrullah alivunja kiburi cha jeshi la Israel linalodai halishindwi
Feb 25, 2025 02:32Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa: Sayyid Hassan Nasrullah amepata mafanikio makubwa na kuvunja kiburi na majigambo ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ambalo linadai eti halishindiki.