-
Vipigo vya Hizbullah vimeitia Israel hasara ya shekeli bilioni 9
Feb 25, 2025 02:30Afisa mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa, hasara iliyopatikana vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kutokana na vipigo vya Hizbullah wakati wa vita vya hivi karibuni inakadiriwa kuwa ni karibu shekeli bilioni 9 sawa na dola 2,515,582,638.
-
Kuendelea mashambulizi na jinai za Wazayuni kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi
Feb 24, 2025 22:58wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameshambulia maeneo mbalimbali katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iran: Kuruka ndege za Israel jijini Beirut wakati wa mazishi ya Shahidi Nasrallah ni "kitendo cha ugaidi"
Feb 24, 2025 09:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amelaani hatua ya ndege za kivita za utawala haramu wa Israel kuruka juu ya uwanja wa michezo nchini Lebanon, ambako shughuli za mazishi ya viongozi wa Hizbullah waliouawa shahdii zilikuwa zinafanyika, akitaja tukio hilo kama "kitendo cha ugaidi" kilicholenga kuwatisha waombolezaji.
-
Hamas yalaani mashambulizi huku Israel ikishambulia Ukingo wa Magharibi
Feb 24, 2025 09:03Harakati ya muqawama ya Hamas imelaani uamuzi wa Israel wa kupanua mashambulizi yake ya kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa kaskazini, ikisema kuwa uchokozi huu unaonesha nia hatari ya utawala wa kikoloni wa Israel kuendelea na vita vyake vya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
-
Jenerali wa Iran: Mazishi ya viongozi wa Muqawama ni hamasa ya kudumu Asia Magharibi na Lebanon
Feb 24, 2025 08:56Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran, Meja Jenerali Mohammad Baqeri, amesema kuwa mazishi na shughuli za kuaga mashujaa wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon yamekuwa tukio la hamasa ya kihistoria lisilosahaulika katika historia ya eneo la Asia Magharibi na Lebanon.
-
Mafanikio ya kimkakati uliyopata Muqawama wa Lebanon chini ya uongozi wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Feb 24, 2025 07:51Jana Jumapili Februari 23 yalifanyika mjini Beirut, Lebanon mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahi, kwa kuhuhudhuriwa na zaidi ya watu milioni moja. Suali muhimu linaloulizwa na wengi ni: Kuna mafanikio gani ya kimkakati ambayo Muqawama wa Lebanon umepata katika kipindi cha miaka 33 ya uongozi wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah?
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Tutaendeleza njia ya Sayyid Hassan Nasrullah hata kama sote tutauawa
Feb 23, 2025 23:37Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika mazishi na shughuli ya kuisindikiza miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyyuddin, Makatibu Wakuu wa harakati hiyo ya Muqawama waliouawa shahidi kwamba: "tutashikamana na ahadi tuliyotoa na tutaendeleza njia ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah hata kama sote tutauawa".
-
Sheikh Zakzkay: Muqawama umezaliwa upya nchini Lebanon
Feb 23, 2025 23:36Kiongozi wa Waislamu wa madhebeu ya Shia nchini Nigeria amesisitiza kuwa, kushiriki mamilioni ya watu katika mazishi ya Mashahidi wa Muqawama ni sawa na "kuzaliwa upya Muqawama wa Lebanon".
-
Hata kiongozi wa upinzani Israel amshutumu Netanyahu kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha vita Ghaza
Feb 23, 2025 23:34Kiongozi wa upinzani katika utawala wa Kizayuni wa Israel amemshutumu waziri mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Ghaza na kubadilishana mateka na Hamas baada ya kuchelewesha zoezi la kuwaachia huru Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala huo.
-
Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi awasalia Mashahidi wa Hizbullah, bahari ya umati wa watu yaifunika Beirut
Feb 23, 2025 11:28Sheikh Muhammad Yazbek, Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameongoza Sala ya Maiti ya kusalia miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyyuddin katika mazishi ya kihistoria yaliyofanyika leo katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.