-
HAMAS: Wapalestina wapambane kuondoa mzingiro wa kinyama uliowekwa na Mamlaka ya Palestina
Dec 24, 2024 08:19Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa wito wa kufanyika "hamasa kubwa ya umma" kwa lengo la kuondoa mzingiro wa kinyama uliowekwa na Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
UN yaonya kuhusu hatari ya kuenea mapigano kaskazini mashariki mwa Syria
Dec 24, 2024 03:20Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria ameonya kuhusu kuenea migogoro na mapigano, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo baada ya kupinduliwa serikali ya Rais Bashar al Assad.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kuwa ndio uliomuua kigaidi Ismail Haniyeh
Dec 24, 2024 03:17Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni kwa mara ya kwanza amekiri kwamba israel ndiyo iliyomuua kigaidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya HAMAS, Ismail Haniyeh mjini Tehran.
-
Hamas yalaani vikali kushambuliwa hospitali Gaza; yasema Israel inafanya maangamizi ya kizazi
Dec 23, 2024 23:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel katika hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza na kusema kuwa, huo ni "uhalifu usio na mfano dhidi ya binadamu."
-
UNICEF: Watoto 14500 wameuawa shahidi hadi sasa katika Ukanda wa Gaza
Dec 23, 2024 10:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuuawa shahidi watoto 14,500 wa Kipalestina huko Gaza.
-
Wananchi wa Uturuki waandamana kulaani jinai za Israel Gaza
Dec 23, 2024 10:33Maelfu ya wananchi wa Uturuki wameandamana katika mji muhimu wa nchi hiyo Istanbul na kutangazza himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza.
-
Wazayuni wayafanya maisha kuwa magumu huko Jabalia, Ukanda wa Gaza
Dec 23, 2024 10:31Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameifanya hali ya mambo na maisha kuwa ngumu katika eneo la Jabalia kwa lengo la kuwahamisha kwa nguvu wakazi wa Kipalestina wa mji huo.
-
Jeshi la Israel lashambulia hospitali, skuli na 'maeneo salama' Ghaza na kuua watu 50
Dec 23, 2024 03:52Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linaendelea kufanya mashambulio ya kinyama katika Ukanda wa Ghaza na kuwaua shahidi Wapalestina wengine wasiopungua 50 katika kipindi cha 24 zilizopita.
-
Mjumbe wa Ansarullah: Utawala wa Kizayuni hauna ubavu wa kukabiliana na vikosi vyetu peke yake
Dec 23, 2024 02:20Mjumbe Mwandamizi wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kwa kusema: "mashambulizi yetu yaliukanganya mfumo wa ulinzi wa anga wa Marekani na kupelekea kutunguliwa ndege ya kivita ya Marekani kwa shambulio lao wenyewe" na akaongeza kuwa utawala wa Kizayuni hauna ubavu wa kukabiliana na Wayemen peke yake na ndio maana unaomba msaada kwa watu wanaouunga mkono.
-
Jeshi la Yemen lathibitisha kudungua ndege ya kivita ya Marekani aina ya F-18
Dec 22, 2024 23:42Jeshi la Yemen linasema kuwa limefanikiwa kuzuia shambulio la pamoja la Marekani na Uingereza kwa kuiangusha ndege ya kivita ya kisasa ya Marekani aina ya F-18 na kulazimisha ndege za maadui kuondoka katika anga ya Yemen.