-
Mwanasayansi wa Syria auawa mjini Damascus, hofu yatanda baada ya kuondolewa madarakani Assad
Dec 12, 2024 00:41Watu wenye silaha wamemuua mwanasayansi mashuhuri wa Syria mjini Damascus huku kukiwa na hofu ya kufanyika msako dhidi ya wasomi wa nchi hiyo baada ya kuondolewa madarakani serikali ya Syria hivi karibuni na makundi yenye silaha yanayoungwa mkono na mataifa ya kigeni, hasa madola ya Magharibi.
-
Dheifullah al-Shami: Muqawama umeimarika kwa waranti wa ICC dhidi ya Netanyahu
Dec 11, 2024 08:52Waziri wa zamani wa Intelijensia wa Yemen amesema kuwa, muqawama umepata nguvu zaidi kufuatia waranti wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel itatekelezwa.
-
Hizbullah ya Lebanon: Jamii ya kimataifa itekeleze jukumu lake la kusaidia Syria
Dec 11, 2024 08:35Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani hujuma za mara kwa mara za ardhi na anga za utawala wa Kizayuni dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa: Hairuhusiwi kukaa kimya mbele ya jinai hizo za wavamizi hao.
-
Marekani yakiri kuwa na mkono katika matukio ya sasa nchini Syria
Dec 11, 2024 04:02Kufuatia matukio ya sasa, ya haraka na ya ghafla ya kijeshi nchini Syria na kutekwa Damascus na makundi yenye silaha na hatimaye kuondoka madarakani Rais wa Syria Bashar al-Assad, Marekani imekiri kwamba imekuwa na nafasi katika matukio hayo.
-
UN: Takriban watu 75 wameuawa Syria katika wiki mbili zilizopita
Dec 11, 2024 03:53Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetangaza kuwa mamia ya raia wamejeruhiwa huko Syria katika muda wa wiki mbili zilizopita na karibu 75 wameuawa.
-
Syria yajibu madai ya Netanyahu kuhusu Golan inayokaliwa kwa mabavu
Dec 11, 2024 00:59Spika wa Bunge la Syria amejibu madai ya kijeuri ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Golan inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Kibinadamu: Jumuiya ya Kimataifa isikae kimya mbele ya mauaji ya kimbari ya Israel
Dec 11, 2024 00:56Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu amezungumzia mashambulizi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika hospitalii na vituo vya matibabu katika Ukanda wa Gaza hususan hospitali ya "Kamal al-Adwan", kaskazini mwa ukanda huo, ameikosoa vikali jamii ya kimataifa kwa kunyamazia kimya uhalifu huo.
-
Sababu za ndani za kuanguka kwa serikali ya Bashar Assad
Dec 10, 2024 10:16Baada ya kifo cha Rais Hafez Assad mwaka 2000, mwanawe Bashar Assad alichukua mamlaka nchini Syria kubakia madarakani nchini Syria kwa miaka 24.
-
Mwanahistoria wa Kizayuni naye pia athibitisha kuwa Israel inafanya mauaji ya kimbari Ghaza
Dec 10, 2024 08:34Mwanahistoria wa Israel anayetajika kimataifa Lee Mordechai ametoa hitimisho kuwa utawala huo wa Kizayuni unafanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza, baada ya kuandaa ripoti ndefu ya kitaalamu inayobainisha orodha ya uhalifu wa kivita uliofanywa tangu uvamizi wa Israel dhidi ya eneo hilo ulipoanza Oktoba 7 mwaka jana kufuatia kufuatia Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekelezwa na harakati ya Hamas.
-
Netanyahu asema, Miinuko ya Golan ya Syria itakaliwa kinyume cha sheria na Israel hadi 'milele'
Dec 10, 2024 08:01Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema, Miinuko ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu itabaki "milele kuwa sehemu isiyoweza kutenganishwa" na Israel.