-
Yemen wafanya maandamano ya mamilioni ya watu kuwaunga mkono Wapalestina
Aug 31, 2024 00:45Kwa mara nyingine tena mamilioni ya wananchi wa Yemen wamemiminika barabarani kulaani jinai za utawala wa Kizayuni na kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.
-
Israel yaidhinisha jeshi libaki kwenye Ukanda wa Philadelphi na kuua matumaini ya kusitishwa vita
Aug 30, 2024 06:45Baraza la mawaziri la vita la utawala wa Kizayuni wa Israel limeidhinisha kuendelea kuwepo kwa jeshi katika Ukanda wa Philadelphi kwenye mpaka wa pamoja wa Ukanda wa Ghaza na Misri na hivyo kudidimiza matumaini ya kusitishwa na hatimaye kukomeshwa vita vya kinyama vilivyoanzishwa na utawala huo dhidi ya eneo hilo tangu Oktoba 7, 2023.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiuka sheria zote za kimataifa
Aug 30, 2024 03:52Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umevuka mistari yote myekundu, ada na sheria zote za kimataifa.
-
WHO: Dawa pekee ya kudumu kwa watu wa Gaza ni amani
Aug 30, 2024 03:51Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, suluhisho pekee la ulinzi wa watoto wa Kipalestina ni kupatikana na kudumishwa amani huko katika Ukanda wa Gaza.
-
Watengenezaji filamu wa Palestina walalamikia msimamo usio wa kibinadamu na wa kibaguzi wa Holywood
Aug 29, 2024 23:11Watengenezaji filamu wa Kipalestina wamesaini barua ya wazi wakipinga na kulalamika msimamo usio wa kibinadamu na wa kibaguzi wa Holywood.
-
Umoja wa Ulaya kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel
Aug 29, 2024 23:10Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amewataka mawaziri wa mambo ya nje wa EU kuzingatia vikwazo dhidi ya mawaziri wa Israel.
-
Shambulio kubwa zaidi kuwahi kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukingo wa Magharibi kwa miaka 22 sasa
Aug 29, 2024 03:17Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limeanzisha operesheni kubwa ya mashambulio ya kijeshi kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, ambayo haijawahi kufanywa mfano wake kwa kipindi cha miaka 22 sasa.
-
Wapalestina waliouawa shahidi Gaza wakaribia 50,000
Aug 28, 2024 11:50Idadi ya mashahidi wa vita vya mauaji ya halaiki huko Gaza yanauyotekelezwa na utawala haramu wa Israel imekaribia 50,000.
-
Uchunguzi mpya wa Amnesty International wafichua jinai za kutisha za utawala wa Kizayuni
Aug 28, 2024 03:15Uchunguzi wa hivi karibuni kabisa wa Shirika la Kimataifa la Amnesty International unaonesha kuwa, utawala wa Kizayuni umefanya jinai zza kutisha na unaendelea kukanyaga kikamilifu sheria na mikataba wa kimataifa.
-
Al Sudani: Utawala wa Kizayuni unafanya jinai katika kivuli cha ukimya wa kimataifa
Aug 28, 2024 03:10Waziri Mkuu wa Iraq amekosoa vikali kimya cha jumuiya ya kimataifa kuhusiana na mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.