-
Wanajeshi magaidi wa Israel walioangamizwa Ghaza wapindukia 700
Aug 28, 2024 01:12Televisheni ya utawala wa Kizayuni ilitangaza jana Jumanne kwamba, idadi ya wanajeshi wa dola hilo la kigaidi walioangamizwa kwenye Ukanda wa Ghaza tangu tarehe 7 Oktoba 2023 imeshapindukia 700 kutokana na kuangamizwa wanajeshi wengine kadhaa wa Israel wiki moja iliyopita.
-
Holocaust ya kweli inafanyika katika Ukanda Gaza
Aug 27, 2024 09:36Ikiwa mtu anatafuta mfano halisi wa mauaji ya Holocaust, basi anapaswa kuupata huko Gaza, kwani utawala wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mbali na kuua moja kwa moja ya raia zaidi ya 40,000, pia umewaweka katika hatari ya kifo manusura wengine wa vita kuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja kwa kutumia mashinikizo mbalimbali.
-
Naibu Katibu Mkuu wa Jihad Islami: Marekani ni kikwazo kikuu cha usitishaji vita Gaza
Aug 27, 2024 08:34Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa Marekani ndiyo kikwazo kikuu cha kufikiwa mapatano ya kusimamisha vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Kauli ya waziri wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi
Aug 27, 2024 03:29Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa Sheikh Ikrima Sabri amesema, kauli aliyotoa hivi karibuni waziri wa usalama wa ndani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa ni hatarishi.
-
Maafisa wa UNRWA: Kila kitu cha maafa kinachoonekana Ghaza hakijawahi kutokea
Aug 27, 2024 03:20Maafisa waandamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina UNRWA wamesema, maafa na masaibu yanayowapata Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza hayajawahi kutokea.
-
Watoto wa Kipalestina wanasumbuliwa na utapiamlo mkali huko Gaza
Aug 26, 2024 22:42Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa maelfu ya watoto katika Ukanda wa Gaza wanasumbuliwa na utapiamlo mkali kutokana na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katka eneo hilo na kuzuiwa bidhaa za chakula kuingia katika eneo hilo.
-
Waziri wa Usalama Israel atangaza nia yake ya kujenga sinagogi katika Msikiti wa Al-Aqsa!
Aug 26, 2024 22:41Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben Gvir, anaendelea kuchokoza hisia za Waislamu, na mara kwa mara amekuwa akivamia Msikiti wa Al-Aqsa, akipuuza sheria za kimataifa.
-
Mwangwi wa kikanda na kimataifa wa Operesheni ya Siku ya Arubaini na shambulizi la Hizbullah ya Lebanon dhidi ya utawala wa Kizayuni
Aug 26, 2024 22:40Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imedhihirisha uwezo wake katika nyanja mbalimbali na taathira yake kieneo na kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa operesheni ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Muqawama Iraq kuanzisha tena operesheni dhidi ya majeshi ya US
Aug 26, 2024 08:49Makundi ya Muqawama ya kupambana na ugaidi ya Iraq yameafikiana kuanzisha tena operesheni dhidi ya kambi na vituo vya kijeshi vya Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wananchi wa Uturuki wafanya maandamano Istanbul kuunga mkono Gaza
Aug 26, 2024 07:56Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano ya kulalamikia siasa za kijeshi na mauaji yanayofanywa na utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya wanawake na watoto wadogo katika eneo la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu.