Asia Magharibi
  • Jumuiya ya MSF yailaumu Israel kwa uharibifu unaoendelea mkabala wa mlipuko wa polio huko Gaza

    Jumuiya ya MSF yailaumu Israel kwa uharibifu unaoendelea mkabala wa mlipuko wa polio huko Gaza

    Sep 03, 2024 08:05

    Kundi la Misaada la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) linalojulikana pia kama Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka limesisitiza kuwa mashambulizi ya Israel na kuharibiwa miundo mbinu ya Ukanda wa Gaza ndio uliosababisha mlipuko wa polio katika eneo hilo.

  • Takwa la Al-Azhar la kususiwa bidhaa za utawala wa Kizayuni

    Takwa la Al-Azhar la kususiwa bidhaa za utawala wa Kizayuni

    Sep 03, 2024 05:17

    Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha Misri kimelaani jinai zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina na kutoa wito kwa Waislamu kususia bidhaa zinazotengenezwa na utawala wa Kizayuni.

  • HAMAS: Netanyahu ameshindwa kufanikisha lengo lolote zaidi ya mauaji ya kizazi

    HAMAS: Netanyahu ameshindwa kufanikisha lengo lolote zaidi ya mauaji ya kizazi

    Sep 03, 2024 03:16

    Harakati ya Mapambano ya Kisilamu ya Palestina HAMAS imesema leo Jumanne kwamba, Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni anawadanganya wafuasi wake na serikali ya Marekani anapodai kupata ushindi katika vita vya Ghaza kwani hajafanikisha lengo hata moja zaidi ya kuua kwa umati na kikatili watu wasio na hatia.

  • HAMAS yaangamiza na kujeruhi wanajeshi wengine wa Israel katika mtego kabambe

    HAMAS yaangamiza na kujeruhi wanajeshi wengine wa Israel katika mtego kabambe

    Sep 02, 2024 07:33

    Brigedi za Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonesha namna iliyoweka mtego kabambe katika mji wa Jenin kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuangamiza na kujeruhi wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni.

  • Brigedi za Al-Qassam: Netanyahu amehusika na mauaji ya mateka wa Israel

    Brigedi za Al-Qassam: Netanyahu amehusika na mauaji ya mateka wa Israel

    Sep 02, 2024 03:47

    Tawi la kijeshi wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) limetoa ujumbe wa video ulioelekezwa kwa familia za mateka wa Israel wanaoshikiliwia huko Gaza ukisisitiza kuwa Netanyahu amehusika na mauaji ya mateka wa Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Netanyahu katika kinamasi cha mivutano na mizozo ya ndani

    Netanyahu katika kinamasi cha mivutano na mizozo ya ndani

    Sep 01, 2024 23:35

    Hali ya wasiwasi na mgogoro wa ndani ya Tel Aviv vimezidi kupamba moto kutokana na ongezeko la maandamano katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel) na kuongezeka hitilafu kati ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, na wapinzani wake.

  • Netanyahu asema, atawatoa kafara mateka Waisraeli lakini jeshi la Kizayuni libaki Philadelphi

    Netanyahu asema, atawatoa kafara mateka Waisraeli lakini jeshi la Kizayuni libaki Philadelphi

    Sep 01, 2024 06:45

    Waziri Mkuu mshupalia vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amemueleza waziri wake wa vita Yoav Gallant kwamba anafadhilisha jeshi la Israel libaki kwenye Ukanda wa Philadelphi (Mhimili wa Saladin) kuliko kuokoa maisha ya mateka ambao wangali wanashikiliwa katika Ukanda wa Ghaza.

  • Waisraeli 3 waangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na al-Khalil

    Waisraeli 3 waangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na al-Khalil

    Sep 01, 2024 03:10

    Kwa uchache askari polisi wawili wa Israel na mlowezi mmoja wa Kizayuni wameangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na mji wa al-Khalil, katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi.

  • Wazayuni wazidi

    Wazayuni wazidi "kumkalia kooni" nduli wa Ghaza

    Aug 31, 2024 22:51

    Matokeo ya uchunguzi wa karibuni kabisa wa maoni uliofanywa na Kanali ya 12 ya televisheni ya Israel yanaonesha kuwa, walowezi wengi wa Kizayuni wanaoishi katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, wanachukizwa sana na kuendelea Benjamin Netanyahu kung'ang'ania kuwa waziri mkuu wa utawala huo.