-
Nusu ya watoto wa Yemen wanasumbuliwa na utapiamlo wa muda mrefu
Jul 29, 2024 22:58Waziri Mkuu wa Yemen, Ahmed Awad bin Mubarak, amefichua kuwa asilimia 50 ya watoto wa nchi hiyo wanasumbuliwa na utapiamlo wa muda mrefu, na kwamba asilimia 21 kati yao wanakabiliwa na udumavu kutokana na tatizo hilo.
-
Mwanajudo wa Algeria akataa kushindana na mwakilishi wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 29, 2024 22:58Judoka wa Algeria amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala haramu wa Israel katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024.
-
HAMAS: Agosti 3 itakuwa Siku ya Kimataifa ya kuunga mkono Ghaza na wafungwa Wapalestina
Jul 29, 2024 03:28Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameitangaza Jumamosi ijayo ya tarehe 3 Agosti kuwa "Siku ya Kitaifa na Kimataifa ya kuwaunga mkono Waghaza na wafungwa Wapalestina" walioko kwenye jela za Israel.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon
Jul 29, 2024 02:47Ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo tofauti ya kusini mwa Lebanon.
-
Russia: HAMAS haitatoweka, inaungwa mkono na Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 28, 2024 23:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema lengo la Israel la kuliondoa vuguvugu la Muqawama wa Palestina la HAMAS kazi "isiyoendana na uhalisia".
-
Syria: Israel yenyewe imeshambulia Majdal Shams ili kupata kisingizio cha kupanua vita
Jul 28, 2024 23:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulio katika eneo la Majdal Shams lililoko kwenye Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu ili kuhalalisha lengo lake la kutaka kupanua wigo wa vita na uvamizi wake wa kijeshi katika eneo.
-
Mateka wa Kipalestina; kuendelea muqawama sambamba na kushadidi ukatili wa Wazayuni
Jul 28, 2024 11:02Katika hali ambayo, utumiaji mabavu na ukatili wa Wazayuni dhidi ya mateka wa Kipalestina umechukua mkondo na wigo mpana zaidi, mateka wa Kipalestina wameshikamana na muqawama na njia ya kufa shahidi.
-
Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan
Jul 28, 2024 03:24Viongozi mbali mbali wa Lebanon wamekanusha vikali madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel na vyombo vya habari vya Magharibi eti Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imehusika na shambulio la roketi katika Miinuko ya Golan.
-
Mawaziri wa afya wa Kikanda wakutana kusaidia kukomesha mlipuko wa polio Gaza
Jul 27, 2024 23:45Mawaziri wa afya kutoka eneo la Mashariki ya Mediterania wameungana kwa ajili ya kushughulikia dharura ya polio katika ardhi ya Palestina kwenye Ukanda wa Gaza.
-
62% ya Wazayuni wanataka vita dhidi ya Ghaza vikomeshwe
Jul 27, 2024 08:57Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na chaneli ya 12 televisheni ya Israel yanaonyesha kuwa asilimia 62 ya Wazayuni wanataka kukomeshwa vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.