-
Hizbullah yashambulia Israel kwa makombora baada ya kamanda wake kuuawa
Jul 04, 2024 22:47Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya makombora kambi kadhaa za kijeshi za utawala wa Kizayuni Israel huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kujibu chokochoko za jeshi hilo katili.
-
Matokeo ya miezi 9 ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jul 04, 2024 22:38Vita vya mauaji ya kizazi vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vimemaliza mwezi wake wa tisa na kuiingia katika mwezi wa kumi kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa wa kutofanya lolote la maana kwa ajili ya kusimamisha mauaji hayo.
-
Makamanda wa Israel: Wanajeshi wamechoshwa na vita Ukanda wa Gaza
Jul 03, 2024 22:56Makamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel wametahadharisha kuwa wanajeshi wa utawala huo wanakabiliwa na uchovu katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanajeshi 2 wa Israel waangamizwa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu
Jul 03, 2024 22:55Wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliangamizwa jana katika oparesheni iliyotekelezwa na wanamapambano wa kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mashambulizi ya Ndege zisizo na Rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams
Jul 03, 2024 22:49Ripoti zinasema kuwa, Wapalestina wanne wameuawa shahidi katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Wapalestina 250,000 walazimika kuwa wakimbizi huko Khan Yunis
Jul 03, 2024 03:51Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa watu 250,000 wamelazimishwa na utawala wa Kizayuni kuyahama makazi yao katika mji wa Khan Yunis, na kuwa hakuna sehemu salama kwao katika eneo hilo.
-
Hizbullah: Usitishaji vita Gaza, njia pekee ya kutuliza hali mipaka ya Lebanon
Jul 03, 2024 03:15Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema usitishaji kamili wa vita katika Ukanda wa Gaza ndio njia pekee ya kupatikana amani katika mipaka ya Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Ripota wa UN aipongeza Uhispania kwa kujiunga na kesi ya mauaji ya halaiki ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Jul 02, 2024 23:20Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu ameipongeza Uhispania kwa kuunga mkono kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) inayoituhumu Israel kuwa imefanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Gaza.
-
Mwanadiplomasia wa Iran atahadharisha kuhusu taathira za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon
Jul 02, 2024 08:23Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran ametahadharisha kuhusu mashambulizi yanayoweza kuanzishwa na utawala unaotekeleza mauaji ya kimbari wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Jeshi la Yemen lashambulia meli 4 zenye mfungamano na Israel, Marekani, Uingereza
Jul 02, 2024 08:17Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimetekeleza oparesheni kadhaa za kijeshi na kuzipiga kwa makombora meli nne katika Bahari Nyekundu, Arabian Sea, Mediterania na Hindi katika kuonyesha mshikamano na raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.