-
Vladimir Putin atahadharisha kuhusu hali mbaya ya Asia Magharibi
Jul 25, 2024 07:50Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu hali inayozidi kutokota ya eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Onyo la Mashirika ya Kimataifa kuhusu hali mbaya ya wagonjwa huko Gaza
Jul 25, 2024 05:59Wagonjwa katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na hatari ya kifo kutokana na kuendelea mashambulizi ya mabomu ya utawala wa Kizayuni na vilevile hatua ya utawala huo ya kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia katika ukanda huo.
-
Amnesty International: Marekani mshirika wa Israel katika mauaji ya kimbari Palestina
Jul 25, 2024 03:41Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International imeonya Marekani kuhusu kuupa silaha utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza na kutangaza kuwa, Washington ni mshirika wa utawala huo katika mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Baghdad: Wanajeshi wote wa Marekani waondoke Iraq kufikia mwakani mwishoni
Jul 25, 2024 03:33Ujumbe wa Iraq katika mazungumzo ya pamoja ya usalama na Marekani umetoa pendekezo la kuondoka nchini Iraq wanajeshi wote wa Marekani ifikapo mwiishoni mwa mwaka ujao.
-
Makubaliano ya makundi ya Palestina kwa ajili ya mshikamano na kuimarisha umoja
Jul 24, 2024 22:59Kwa kuwa mwenyeji wa makundi ya Wapalestina, China imefanikiwa kufanikisha maridhiano kati ya makundi hayo, ambayo mwendelezo wake unaweza kuwa na taathira chanya sio tu kwa Palestina, bali pia kwa eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla.
-
Daktari Myahudi awaumbua Wazayuni kwa jinai zao dhidi ya watoto wa Palestina
Jul 24, 2024 02:57Daktari mmoja Mmarekani ambaye pia ni Myahudi amewafedhehesha Wazayuni kwa kufichua jinai kubwa zinazofanywa na wanajeshi makatili wa Israel dhidi ya watoto wadogo wa Palestina.
-
Israel yaendeleza mashambulizi kusini, katikati na kaskazini mwa Gaza; Wapalestina 85 wauawa shahidi
Jul 23, 2024 23:20Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni limezidisha jinai na mashambulizi yake katika maeneo ya kaskazini, kusini na katikati mwa Ukanda wa Gaza na hivyo kuifanya idadi ya mashahidi wa Kipalestina waliouliwa hadi sasa huko Gaza kuongezeka.
-
Radiamali za asasi za kimataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu Gaza
Jul 23, 2024 23:02Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Idadi ya Watu na Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka wameonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu na mgogoro katika Ukanda wa Gaza, hasa hali ya wanawake na watoto.
-
Kufanyika kura ya maoni Palestina; mkakati na suluhisho la Iran
Jul 23, 2024 10:29Nasser Kanani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, "suluhisho bora zaidi la kuhitimisha hali haramu ya sasa katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni kufanyika kura ya maoni jumuishi kwa kushirikisha wakaazi wote na raia asili wa ardhi hiyo."
-
Hamas yatangaza mapatano ya 'umoja wa kitaifa' na makundi mengine ya Palestina
Jul 23, 2024 10:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, yenye makao yake huko Gaza imesema imetia saini makubaliano mjini Beijing na makundi mengine ya Palestina, ikiwa ni pamoja na Fat'h, kufanya kazi pamoja kwa ajili ya "umoja wa kitaifa."