-
Ansarullah yasema itachukua hatua kali za kulipiza kisasi dhidi ya Israel
Jul 23, 2024 10:04Afisa wa ngazi ya juu wa Yemen amesema nchi hiyo italipiza kisasi kwa shambulio baya la hivi karibuni la anga dhidi ya al-Hudaydah, na kwamba Israel lazima iwe tayari kwa matukio yasiyotarajiwa katika siku zijazo.
-
Rais Assad atilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano wa kimkakati kati ya nchi yake na Iran
Jul 23, 2024 03:48Rais wa Syria Bashar Assad ametilia mkazo kuimarishwa zaidi uhusiano na kuimarishwa ushirikiano na uratibu baina ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga mbalimbali.
-
Hatimaye utawala wa Kizayuni wakiri kuwa umeua mateka wake Ghaza
Jul 23, 2024 03:02Baada ya siku 290 za vita, hatimaye jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa makumi ya mateka wa Kizayuni wameuliwa katika ukanda wa Ghaza na askari wa utawala huo.
-
Palestina yaomba utawala wa Kizayuni uondolewe katika michezo ya Olimpiki ya Paris
Jul 23, 2024 03:01Kamati ya Olimpiki ya Palestina imemwandikia barua Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, ikitaka utawala wa Kizayuni uondolewe katika Michezo ya Olimpiki ya Paris.
-
Ripota wa Umoja wa Mataifa akosoa vitendo vya kibaguzi vya utawala wa Israel
Jul 22, 2024 22:55Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu huko Palestina amekosoa mienendo ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
UN: Utapiamlo unatishia maisha ya wajawazito na vichanga Gaza
Jul 22, 2024 07:28Mfuko wa Idadi ya Watu wa Umoja wa Mataifa (UNPF) umetahadharisha kuhusu taathira hasi za utapiamlo zinazowakodolea macho wanawake wajawazito na watoto wachanga katika Ukanda wa Gaza; huku vita vya kikatili na vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo vikishadidi.
-
Hizbullah ya Lebanon yashambulia vitongoji vya Wazayuni
Jul 21, 2024 23:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena imekishambulia kwa makombora kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Dona, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Wanamuqawama wa Palestina watoa kipigo kikali kwa wanajeshi wa Kizayuni huko Rafah
Jul 21, 2024 08:01Wanamapambano wa Palestina wametoa kipigo kikali kwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika mapigano makali yaliyojiri katika mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Yemen yashambulia Bandari ya Eilat kwa makombora ya balestiki
Jul 21, 2024 07:33Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vimeipiga kwa makombora ya balestiki Bandari ya Eilat, kusini ya maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, katika operesheni ya kulipiza kisasi.
-
Utayarifu wa makundi ya Muqawama kwa ajili ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel
Jul 21, 2024 04:06Baada ya operesheni iliyofanywa na Jeshi la Yemen katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa kutumia ndege isiyo na rubani, makundi ya Muqawama katika eneo la Magharibi mwa Asia yametangaza uungaji mkono wao kwa hatua hiyo na kuuonya utawala wa Kizayuni kuhusu kuendeleza vita.