-
Mamia ya maafisa wa jeshi Israel wataka kuondoka jeshini, hawataki tena kushiriki katika vita vya Gaza
Jul 01, 2024 07:58Televisheni ya Israel imetanagaza kuwa maafisa wapatao 900 wa vyeo tofauti wa jeshi wameomba kufutwa mikataba yao ya kuhudumu jeshini, wakati maombi kama hayo hapo awalii hayakuzidi maafisa 150.
-
Wanaharakati wa Iraq waipiga tena kwa makombora bandari ya Eilat ya utawala wa Kizayuni
Jul 01, 2024 04:37Wanaharakati wa Muqawama wa Iraq wamesema kuwa wamefanya shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Hamas: Kitendo cha Israel cha kuwatumia mateka kama ngao za binadamu ni uhalifu wa kivita
Jul 01, 2024 03:32Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas); Izzat al-Rashq amesema kuwa, hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuwatumia mateka kama ngao za binadamu ni jinai ya kivita.
-
Kuzidi kuwa mkubwa mzozo na mpasuko ndani ya utawala wa Kizayuni
Jul 01, 2024 02:45Kuendelea vita katika Ukanda wa Ghaza na kushindwa utawala wa Kizayuni kupata mafanikio yoyote ya kijeshi sambamba na chokochoko zinazofanywa na Netanyahu katika mpaka wa Lebanon ni mambo ambayo yamezidisha mzozo na mpasuko katika safu za Wazayuni.
-
Gazeti la Kizayuni la Haaretz: Vita na Hizbullah ni "kujitia kitanzi"
Jun 30, 2024 22:52Gazeti moja la Kizayuni linalochapishwa mjini Tel Aviv limetabiri kuwa, matokeo ya vita vikubwa kati ya utawala wa Kizayuni na Hizbullah ya Lebanon ni sawa na kujitia kitanzi Israel na kushindwa vibaya sana.
-
Matokeo mabaya ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na Wazayuni kwa wanawake huko Gaza
Jun 30, 2024 22:50Miezi 9 imepita tangu utawala wa Kizayuni uanzishe mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Utafiti wa Israel: Nguvu zetu za kijeshi zinafifia na vita na Lebanon ni maafa
Jun 30, 2024 07:42Utafiti uliotayarishwa na Taasisi ya Utafiti wa Usalama wa Taifa ya Israel katika Chuo Kikuu cha Tel Aviv umetahadharisha kuhusu hatari ya kuingia katika makabiliano makubwa ya kijeshi na harakati ya Hizbullah ya Lebanon, na kusisitiza kuwa, kuendelea kuwepo Israel kama taifa kumeingia mashakani, na taswira yake kama taifa lenye nguvu za kijeshi inafifia.
-
Arab League yaiondoa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jun 30, 2024 03:26Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetangaza habari ya kuiondoa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha yake ya 'mashirika ya kigaidi'.
-
UN yakosoa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Jun 30, 2024 02:43Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Amani ya Asia Magharibi, akielezea wasiwasi wake juu ya kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, ameutaja upanuzi wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kuwa ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Sayyid Nasrullah: Kukombolewa Palestina ndio ushindi wa mwisho
Jun 29, 2024 22:44Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ushindi wa mwisho ni kukombolewa Palestina na kuondolewa eneo la Asia Magharibi kutoka katika udhibiti utawala wa Marekani.