-
UNRWA: Akiba ya chakula kusini mwa Ghaza inakaribia kwisha kabisa
May 13, 2024 00:34Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa indhari kwamba, ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingizwa Ghaza, hakutakuwa na chakula chochote cha kuwagaia wakazi wa eneo hilo lililowekewa mzingiro.
-
Vita vya Gaza na kuibuka mzozo kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
May 12, 2024 22:39Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kuwa, Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni hana mamlaka ya kisheria ya kuamua kuhusu hatima ya uongozi na uendeshaji wa Gaza baada ya vita.
-
Jihad Islami: Israel haitatimiza malengo yake kwa mashambulizi ya kikatili ya Gaza
May 12, 2024 05:40Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imesema Israel haitaweza kufikia malengo yake katika Ukanda wa Gaza kupitia mashambulizi yake ya kikatili dhidi ya Wapalestina.
-
Mtangazaji nguli wa soka Uingereza: Yanayojiri Gaza ni mabaya zaidi kuliko yote niliyoshuhudia maishani
May 12, 2024 05:18Mtangazaji nguli wa soka wa Uingereza, Gary Lineker ameema mauaji yanayofanywa na jeshi la Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina ndio mabaya zaidi aliyowahi kushuhudia katika kipindi chote cha maisha yake.
-
Hizbullah yatekeleza mashambulizi ya mizinga na droni dhidi ya ngome za Israel
May 12, 2024 04:00Wapiganaji wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, wamefanya mashambulizi kadhaa ya kijeshi kwa kutumia ndege zisizo na rubani (droni) na mizinga dhidi ya maeneo ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel kaskazini mwa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ili kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya utawala huo dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Afisa wa Hamas: Muqawama wa Gaza umeweza kukabiliana kwa mafanikio na vita vya dunia
May 11, 2024 23:06Sami Abu Zuhri, ambaye ni miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), amesema kwamba Muqawama na mapambano ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yamefanikiwa kukabiliana na "vita vya kimataifa," na nchi zilizoifadhili Israel sasa zinaanza kusitisha uungaji mkono wao kwa utawala huo.
-
Watu 200 wafariki dunia kwa janga la mafuriko nchini Afghanistan
May 11, 2024 08:04Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kwa akali watu 200 wamefariki duniani kwa mafuriko kaskazini mwa Afghanistan.
-
Askari wa Israel waendelea kuangamizwa na wanamuqawama Gaza
May 11, 2024 04:29Wanajeshi wengine watano wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa katika shambulizi la ulipizaji kisasi lililofanywa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kushirikiana na Ulaya kwa kuzingatia maslahi ya pamoja
May 11, 2024 00:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na Ulaya kwa kuzingatia maslahi ya pande mbili.
-
Mazungumzo ya kusitisha vita Gaza yakwama, wajumbe wa Hamas na Israe waondoka Cairo
May 11, 2024 00:42Mazungumzo yaliyokuwa na lengo la kuhitimisha vita vya Gaza yaliyokuwa yakifanyika huko Cairo Misri yamekwama na pande mbili zimeshindwa kufikia makubaliano.