-
Mamia watoweka katika hospitali ya Al-Aqsa huko Ghaza baada ya kuvamiwa na wanajeshi wa Israel
Jan 08, 2024 05:56Mamia ya wagonjwa na wafanyikazi wametoweka katika Hospitali ya Al-Aqsa ya katikati mwa Ghaza baada ya kuvamiwa na wanajeshi makatili wa Israel. Hospitali hiyo inapitisha kipindi kigumu sana hivi sasa kutokana na mashambulizi makali ya anga kwenye eneo hilo.
-
Maandamano dhidi ya Benjamin Netanyahu ndani ya Israel na kimataifa
Jan 08, 2024 03:47Huku utawala haramu wa Israel ukiendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza maandamano dhidi ya Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu yameenea ndani ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Amir wa Qatar: Mashambulio ya Israel Gaza yasimamishwe, usitishaji vita utekelezwe haraka
Jan 08, 2024 02:42Amir wa Qatar amesisitiza juu ya kusimamishwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kutekelezwa haraka usitishaji vita katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Yemen: Oparesheni dhidi ya utawala wa Kizayuni zinaendelea
Jan 08, 2024 00:10Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesisitiza kuwa jeshi la nchi hiyo litaendelea kutekeleza oparesheni dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bahari ya Sham na katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo (Israel).
-
Maripota wengine 2 wauawa shahidi katika shambulio la anga la Israel Ukanda wa Gaza
Jan 08, 2024 00:08Jeshi la Israel mapema jana Jumapili lilifanya mashambulizi ya anga huko Rafah na kuishambulia gari iliyokuwa imewabeba maripota wawili wa Palestina huko kusini mwa Gaza na kuwauwa shahidi waandishi habari wawili wa Palestina.
-
Hizbullah yaishambulia Israel kwa makombora 62 katika jibu la kwanza kwa mauaji ya kiongozi wa Hamas
Jan 07, 2024 07:13Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema, imeshambulia kituo cha upelelezi wa angani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa mlolongo wa makombora katika jibu lake la kwanza kwa mauaji ya Naibu Kiongozi wa Hamas yaliyofanywa na utawala huo wa kigaidi.
-
Hamas: Kufukuliwa makaburi na kuiba miili ya mashahidi wa Gaza ni uhalifu mkubwa
Jan 07, 2024 04:48Harakati ya Mupambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani kitendo cha wanajeshi wa utawala haramu wa Israel cha kuvamia makaburi ya Wapalestina huko Gaza jana Jumamosi na kuiba miili ya mashahidi na kuipeleka kusikojulikana.
-
Azma thabiti ya serikali ya Iraq kuondolewa nchini humo wanajeshi wa Marekani
Jan 07, 2024 04:47Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza katika msimamo nadra kabisa juu ya ulazima wa kuondoka nchini humo wanajeshi vamizi wa Marekani.
-
Nukta 5 za kiuchambuzi katika hotuba ya pili ya Seyyid Hassan Nasrallah mwaka 2024
Jan 07, 2024 03:59Seyyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon tarehe 5 Januri katika hotuba yake ya pili katika mwaka huu mpya wa 2024 amejadili vita vya Gaza, kuuawa shahidi Saleh al-Arouri, kiongozi wa Hamas na jinai ya kigaidi huko Kerman.
-
UNICEF: Watoto katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na hali mbaya sana
Jan 07, 2024 01:01Mfuko wa Watoto waa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, hahli ya watoto katika Uukaanda wa Gaza ni mbaya mno.