-
Qassam: Tumeteketeza magari 8 ya deraya ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza
Dec 28, 2023 08:44Brigedi za Izuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesema kuwa, zimeteketeza magari manane ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni kwenye mapigano yanayoendelea huko Ghaza.
-
Muqawama wa Iraq washambulia 'maeneo muhimu' ya Israel kwenye Miinuko ya Golan ya Syria
Dec 28, 2023 03:16Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umefanya mashambulizi mawili tofauti dhidi ya vituo nyeti na muhimu vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Miinuko ya Golan ya Syria unayoikalia kwa mabavu na kaskazini mwa Iraq katika eneo la Kurdistan.
-
Rais wa Cuba: Mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza ni fedheha kubwa
Dec 28, 2023 00:52Rais Miguel Diaz-Canel wa Cuba amelaani vikali mauaji ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kueleza kwamba, mauaji hayo ya kimbari ni kashfa na fedheha kwa ubinadamu.
-
Wazayuni wakiri kushindwa katika vita vya Gaza
Dec 28, 2023 00:51kuchukua muda mrefu vita vya Gaza kumewafanya, baadhi ya Wazayuni kukiri kushindwa utawala ghasibu wa Israel katika vita vyake vya jinai huko Gaza.
-
Serikali ya Gaza yaituhumu Israel kuwa inaiba viungo vya miili ya mashahidi
Dec 27, 2023 10:42Idara ya Vyombo vya Habari vya serikali ya Ukanda wa Gaza imeutuhumu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa unaiba viungo vya miili ya Wapalestina wanaouawa katika mashambulizi ya utawala huo kutoka kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, na imetoa wito wa kuundwa kamati huru ya uchunguzi wa kimataifa ya kufuatilia suala hilo.
-
Afisa wa WHO: Tunashuhudia umwagaji damu wa kutisha huko Gaza
Dec 27, 2023 10:37Mratibu wa timu za matibabu ya dharura katika Shirika la Afya Duniani, Sean Casey, ambaye ameshiriki katika operesheni ya kibinadamu katikati mwa Gaza, amesema damu zimetapakaa kila mahali katika hospitali za eneo hilo na kwamba alichokiona huko ni mito ya damu na chinjachija ya binadamu" akisisitiza kwamba hakuna mahali salama katika eneo hilo.
-
Kuendelea jinai za kivita za Israel huko Gaza kwa ushirikiano wa moja kwa moja wa Marekani na serikali ya Biden
Dec 27, 2023 08:07Uvamizi wa utawala ghasibu katika Ukanda wa Gaza umeingia katika siku ya 82. Jeshi la utawala huo ghasibu limeshambulia vikali miji ya Khan Yunis ulioko kusini na Jabalia kaskazini pamoja na wa Gaza ulioko katikati mwa ukanda huo.
-
Kufikichwa wanajeshi sita wa Kizayuni ndani ya saa 24 zilizopita
Dec 27, 2023 04:40Jumanne ya jana, jeshi la Israel lilikiri kuangamizwa askari jeshi wake sita katika saa 24 zilizopita.
-
Hamas: Mikono ya serikali ya Marekani imejaa damu ya watoto wa Gaza
Dec 27, 2023 04:32Osama Hamdan, Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, serikali ya Marekani inazungumzia kuokoa maisha ya raia wa Gaza na wakati huo huo kuupa silaha utawala wa Kizayuni. Amesema: Mikono ya serikali ya Marekani imejaa damu ya watoto wa Gaza.
-
Kuongezeka mashinikizo ya familia za mateka wa Israel dhidi ya Netanyahu
Dec 27, 2023 04:18Kutokana na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, kushindwa kuwakomboa mateka wa Kizayuni kutoka mikononi mwa wapiganaji wa Hamas, mashinikizo ya ndani dhidi ya waziri mkuu huyo wa utawala ghasibu yameongezeka.