-
Hatimaye vita vya Gaza vyasimamishwa kwa muda wa siku 4
Nov 22, 2023 03:09Hatimaye kumefikiwa makubaliano ya kusitisha vita huko Gaza kwa muda wa siku nne ili kutoa fursa ya kufikishwa misaada ya kibinadamu na pande mbili kubadilishana mateka.
-
Wazayuni waendeleza jinai Ghaza, waliouawa shahidi wakaribia 15,000
Nov 22, 2023 00:01Ofisi ya Upashaji Habari ya Serikali ya Palestina huko Ghaza, usiku wa kuamkia leo Jumatano imetangaza kuwa, idadi ya wananchi wa Palestina waliouawa shahidi kwenye mashambulizi ya kikatili ya Israel imekaribia 15,000.
-
Mkurugenzi wa TV ya Al-Mayadeen: Israel haitaweza katu kunyamazisha sauti yetu
Nov 21, 2023 10:42Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya chaneli ya habari ya Al Mayadeen amesisitiza kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hautaweza katu kunyamazisha sauti ya chaneli hiyo ya habari.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel akiri kwamba Hamas haijajenga handaki chini ya Hospitali ya al Shifa
Nov 21, 2023 09:06Waziri Mkuu wa zamani wa Israel amekanusha madai kwamba Hamas imejenga handaki chini ya Hospitali ya Al-Shafa.
-
Uwezekano wa kutangazwa usitishaji vita huko Gaza
Nov 21, 2023 03:59Ismail Haniyeh ameliambia shirika la habari la Reuters leo Jumanne kwamba Palestina iko karibu kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na utawala wa Kizayuni.
-
Watoto wa Gaza; wahanga wakuu wa jinai za utawala wa Kizayuni
Nov 20, 2023 23:07Katika kuendeleza jinai zake huko Ukanda wa Gaza jeshi la utawala ghasibu wa Kizayuni Jumamosi tarehe 18 mwezi huu wa Novemba liliishambulia kwa mabomu kwa mara ya pili shule ya Al Fakhoora katika kambi ya wakimbizi ya Jabaliya; ambapo katika jinai hiyo Wapalestina wasiopungua 200 wameuliwa shahidi aghalabu yao wakiwa ni watoto.
-
HAMAS yaipongeza Yemen; San'a yasema: Hatutosita kukamata meli yoyote ya Wazayuni
Nov 20, 2023 11:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeipongeza Yemen na jeshi lake kwa hatua yao ya kishujaa ya kukamata meli ya utawala wa Kizayuni na kusema kuwa hatua hiyo ni mafanikio ya aina yake yaliyopatikana kutokana na damu za watu wasio na hatia zinazomwagwa na Israel huko Ghaza.
-
ISESCO yalaani hujuma za Israel dhidi ya shule za Gaza yazitaja kuwa 'Aibu kwa Ubinadamu'
Nov 20, 2023 10:56Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (ISESCO) limetoa tamko kali likilaani mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya shule mbili kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuwa ni "fedheha kwa ubinadamu" na "uhalifu wa kutisha".
-
UNRWA: Israel imevunja rekodi ya kuua idadi kubwa zaidi ya wafanyakazi wa UN
Nov 20, 2023 04:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa zaidi ya wafanyakazi mia moja wa shirika hilo la kimataifa wameuwa katika mashambulizi ya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza hadi sasa.
-
Sababu za siri za umwagaji damu wa Israeli huko Gaza
Nov 20, 2023 03:50Mauaji ya halaiki na ya kizazi yanayofanywa na utawala wa kigaidi wa Israel huko Gaza yameingia katika siku yake ya arubaini na tano, huku taasisi za kieneo na kimataifa zikiwa zimekaa kimya na hivyo kuupa utawala huo alama ya taa ya kijani kwa ajili ya kuendeleza jinai zake hizo dhidi ya raia wasio na hatia.