-
Mfalme wa Jordan ataka kusitishwa vita mara moja Gaza
Nov 20, 2023 00:28Mfalme Abdullah II wa Jordan ameitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za dharura za usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, ili kuzuia kutokea janga kubwa la kibinadamu katika eneo hilo la Wapalestina lililozingirwa.
-
Bunge la Israel kujadili rasimu ya sheria ya kuwanyonga wafungwa Wapalestina
Nov 20, 2023 00:27Waziri mwenye misimamo mikali na ya chuki katika baraza la mawaziri la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, bunge la utawala huo Knesset limepanga kujadili rasimu ya sheria yenye utata ya "kuwanyonga wafungwa wa Kipalestina".
-
Jeshi la Yemen: Tutalenga na kuteka meli zote za Israel katika Bahari Nyekundu
Nov 19, 2023 23:58Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya nchi hiyo vitashambulia na kuteka meli zote zinazomilikiwa au kusimamiwa na kampuni za utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwa ni hatua kuliunga mkono taifa la Palestina, wakati huu ambapo Wazayuni wanaendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Ombi kwa ICC kuchunguza jinai za kivita za Israel huko Gaza
Nov 19, 2023 23:57Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai za Kivita ya The Hague ICC ametangaza habari ya kupokea maombi ya nchi 5 kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Wazayuni wakiri: Helikopta yetu wenyewe ilishambulia walowezi katika tamasha la muziki
Nov 19, 2023 11:31Baada ya kupita zaidi ya mwezi mmoja, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekiri kuwa helikopta yake iliwalenga kimakosa walowezi waliokuwepo kwenye tamasha la muziki karibu na Ukanda wa Gaza mnamo tarehe 7 Oktoba.
-
WHO yatoa ripoti ya kushtusha kuhusu hali mbaya ya Hospitali ya Al-Shifaa, Gaza
Nov 19, 2023 11:02Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti ya kushtusha kuhusu hali mbaya inayoshuhudiwa ndani ya Hospitali ya Al-Shifaa katika Ukanda wa Gaza baada ya timu ya watalaamu wake kuwasili katika hospitali hiyo iliyovamiwa na kuwekewa mzingiro na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni.
-
Matokeo ya kiuchumi ya vita vya Gaza kwa utawala wa Kizayuni
Nov 19, 2023 07:54Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ya tarehe 7 Oktoba ambayo imeupelekea utawala haramu wa Israel kupata kipigo kikubwa kihistoria imeupelekea pia utawala huo kuendelea kushindwa katika nyanja nyingine hasa ikitiliwa maanani kwamba ungali unaendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Kufichuliwa kuangamizwa Wazayuni tarehe 7 Oktoba na helikopta ya Israel!
Nov 19, 2023 03:25Gazeti la Haaretz limeripoti kuwa kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na polisi ya utawala ghasibu wa Israel, helikopta ya jeshi la utawala huo iliwafyatulia risasi Wazayuni waliokuwa kwenye tamasha la muziki jangwani tarehe 7 Oktoba.
-
Mbunge wa Kizayuni: Kuuliwa watoto Gaza ni jinai
Nov 19, 2023 03:16Mbunge wa utawala wa Kizayuni ameyataja mauaji ya watoto na wanawake wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza yanayofanywa na jeshi la utawala huo kuwa ni jinai.
-
Israel yakiri kuangamizwa wanajeshi wake 6 Ghaza katika kipindi cha saa 24
Nov 19, 2023 03:09Jeshi la utawala wa Kizayuni jana Jumamosi lilikiri kwamba wanajeshi wake 6 wameangamizwa na wengine 7 wamejeruhiwa kwenye mapigano na wanamapambano wa Palestina kaskazini mwa Ghaza.