-
Indhari kuhusu kukaririwa Nakba ya pili huko Palestina
Nov 19, 2023 02:32Maafisa wa Umoja wa Mataifa sambamba na kutahadharisha kuwa, utawala wa Kizayuni unapanga kukariri Nakba ya pili huko Gaza, wametangaza kuwa, Israel inatumia mbinu ya kukata mawasiliano ya simu na Intaneti kuficha jinai zake.
-
Kubadilika kikamilifu sera za nje za Pakistan mkabala wa Taliban ya Afghanistan
Nov 18, 2023 23:02Waziri Mkuu wa Pakistan amesema katika matamshi nadra na ya aina yake kuwahi kutolewa kuhusu mivutano ya karibuni kati ya nchi hiyo na utawala wa Taliban ya Afghanistan kuwa uhusiano wa nchi mbili hizo utaboreka pale serikali halali itakapoingia madarakani huko Afghanistan.
-
UN yataka Israel iruhusu wakaguzi huru kuingia Al Shifa
Nov 18, 2023 08:41Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka Israel iruhusu wakaguzi wake kuingia katika Hospitali ya Al-Shifa ili kuchunguza madai ya utawala wa Kizayuni eti ya kuwepo makao makuu ya HAMAS ndani ya hospitali hiyo.
-
Israel imeua Wapalestina 12,000, wakiwemo watoto 5,000 tokea Oktoba 7
Nov 18, 2023 04:35Utawala haramu wa Israel umeua shahidi zaidi ya Wapalestina 12,000, wakiwemo watoto wasiopungua 5,000 tokea uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.
-
Sababu na matokeo ya kuuzuliwa Spika wa Bunge la Iraq
Nov 18, 2023 03:14Jumanne iliyopita, Mahakama ya Juu ya Iraq ilimuuzulu Spika wa Bunge la nchi hiyo, Mohammad Al-Halbousi.
-
HAMAS yakanusha madai ya Netanyahu kuhusu kufichwa mateka mahospitalini
Nov 18, 2023 00:19Brigedi za al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimekanusha madai ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu aliyedai kuwa Wapalestina walikuwa wamewaficha mateka Wazayuni kwenye hospitali za Ghaza ili kuhalalisha jinai zake dhidi ya watoto wachanga na wagonjwa kwenye hospitali hizo.
-
Kucheleweshwa azimio la Baraza la Usalama katika kivuli cha mashambulio ya pande zote dhidi ya Gaza
Nov 17, 2023 23:24Ingawa Baraza la Usalama hatimaye limefanikiwa kupitisha azimio la usitishaji vita wa muda na wa kibinadamu huko Gaza baada ya kupita siku 40, lakini utawala wa Kizayuni umepuuzilia mbali azimio hilo na kuendelea kuushambulia kinyama Ukanda wa Gaza.
-
Chuki dhidi ya Netanyahu zaongezeka, Wapalestina waendelea kujibu jinai za Wazayuni
Nov 17, 2023 07:04Matokeo ya karibuni kabisa ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, chuki na hasira za hata Wazayuni wenyewe zinazidi kuongezeka dhidi ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na umaarufu wa wapinzani wake ndani ya utawala wa Kizayuni unazidi kupanda.
-
Hamas yakanusha madai ya Israel kuhusu kuendesha " kamandi ya kivita" hospitalini
Nov 17, 2023 04:30Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombozi wa Palestina, Hamas, imekanusha madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa eti ina 'kamandi ya kivita' iliyo katika eneo la chini ya hospitali kubwa zaidi ya Ukanda wa Gaza, ambayo imekuwa ikikabiliwa na hujuma ya kijeshi ya utawlaa huo.
-
Kan'ani: Waungaji mkono wa Israel hawana haki ya kuinasahi Iran kuhusu haki za binadamu
Nov 16, 2023 23:50Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja azimio dhidi ya Iran kuhusu haki za binadamu lililopasishwa katika kamati ya tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa ni kinyume cha sheria na lilsilokubalika hata kidogo.