-
Azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza: Makubaliano ya kiwango cha chini
Nov 16, 2023 23:47Uzembe wa Umoja wa Mataifa na hasa mkwamo katika Baraza la Usalama la umoja huo ambao una jukumu muhimu la kulinda amani na usalama wa kimataifa, kuhusu vita vya Gaza, jinai za kivita na mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni, umekosolewa vikali kimataifa.
-
Zaidi ya madaktari na wahudumu wa afya 200 wameuawa na Israel huko Gaza
Nov 16, 2023 08:33Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kwamba madaktari na wahudumu wa afya 202 wa mji huo wameuawa shahidi tangu kuanza kwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Isarel kwenye ukanda huo.
-
Umuhimu wa maneno ya Kiongozi wa Ansarullah kuhusu vita vya Gaza
Nov 16, 2023 04:43Abdul Malik al-Houthi, Kiongozi wa Ansurullah ya Yemen ameashiria katika hotuba yake uungaji mkono wa pande zote wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni na kukosoa misimamo ya nchi 57 za Kiarabu na Kiislamu kuhusiana na suala muhimu la Ghaza.
-
Hizbullah: Israel 'itafutwa' ikiwafukuza Wapalestina Gaza
Nov 16, 2023 02:58Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala haramu wa Israel utasambaratishwa na kufutwa katika uso wa dunia iwapo utajaribu kuwafurusha wananchi wa Palestina wanaoshi katika Ukanda wa Gaza.
-
Kugeuzwa hospitali ya al-Shifa kuwa kambi ya kijeshi na jitihada za kuwafukuza Wapalestina huko Gaza
Nov 16, 2023 01:46Mashambulio ya mabomu katika maeneo ya makazi ya raia huko Ukanda wa Gaza na kuuawa shahidi wagonjwa kadhaa waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya al-Shifa kutokana na mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni dhidi ya hospitali hiyo ni miongoni mwa habari mpya zenye kutia uchungu na kuhuzunisha sana kuhusiana na vita vya Gaza.
-
Israel yaua waumini 50 wakiwa msikitini Gaza katika mtaa wa Sabra
Nov 16, 2023 01:03Takriban watu 50 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa wakati ndege za kivita za utawala wa Israel zilipodondosha mabomu katika msikiti mmoja katika mtaa wa Sabra katikati mwa Ukanda wa Gaza huku utawala huo ukiendeleza mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo.
-
Iran: Marekani inaipa Israel silaha zilizopigwa marufuku kimataifa
Nov 16, 2023 00:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kuipa Israel silaha zilizoharamishwa kimataifa kama vile mabomu ya fosforasi ili utawala huo wa Kizayuni utumie silaha hizo dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais Erdogan wa Uturuki: Israel ni dola la kigaidi
Nov 16, 2023 00:45Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema Israel ni 'dola la kigaidi' ambalo linafanya jinai za kivita na kukanyaga sheria za kimataifa katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Afrika Kusini: Vitendo vya Israel Gaza ni jinai za kivita
Nov 16, 2023 00:44Rais wa Afrika Kusini amesema kuwa vitendo vya utawala wa Kizayuni Ukanda wa Gaza ni jinai za kivita.
-
Kuongezeka kukosolewa uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni
Nov 16, 2023 00:41Kuendelea jinai , mauaji ya kimbari na kutokomezwa kizazi cha wananchi wa Gaza na utawala wa Kizayuni ambazo zimesababisha maelfu ya Wapalestina kuuawa shahidi na kujeruhiwa, kumepelekea kushtadi kukosolewa siasa za upendeleo za serikali za Magharibi kwa Israel.