-
Kuongezeka kukosolewa uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni
Nov 16, 2023 00:41Kuendelea jinai , mauaji ya kimbari na kutokomezwa kizazi cha wananchi wa Gaza na utawala wa Kizayuni ambazo zimesababisha maelfu ya Wapalestina kuuawa shahidi na kujeruhiwa, kumepelekea kushtadi kukosolewa siasa za upendeleo za serikali za Magharibi kwa Israel.
-
Wapalestina wateteketeza magari 88 ya kivita ya Israel katika muda wa siku tano
Nov 15, 2023 03:39Tovuti moja inayojihusisha na masuala ya kijeshi imeripoti kwamba wanamapambano wa Palestina wameteketeza magari 88 ya deraya ya utawala wa Kizayauni wa Israeli katika kipindi cha siku tano tu huko Ghaza.
-
Rekodi mpya ya mauaji ya watoto wachanga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika vita vya Gaza
Nov 15, 2023 03:38Kuendelea kushambuliwa nyumba na makazi ya raia na vituo vya matibabu huko Ukanda wa Gaza na mapigano makali ya vikosi vya wapigania uhuru wa Palestina dhidi ya wavamizi wa Kizayuni katika mihimili tofauti ya eneo hilo ni miongoni mwa habari zinazoendelea kuzungumziwa sana katika vyombo vya habari duniani
-
Askofu Mkuu wa Canterbury asema lazima Israel ikomeshe vita Gaza
Nov 15, 2023 00:25Askofu Mkuu wa Canterbury amesema hakuna msingi wowote wa kimaadili unaoweza kuhalalisha mauaji ya Wapalestina huko Gaza ambayo yanatekelezwa na utawala wa Israel.
-
Mkuu wa Ansarullah: Viongozi wa Kiislamu wazuie mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Wapalestina
Nov 15, 2023 00:11Kiongozi wa harakati ya Mapambano ya Kiisalmu (muqawama) ya Ansarullah ya Yemen amezitaka nchi za Kiarabu na Ulimwengu wa Kiislamu kuwa na misimamo ya wazi katika kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza
Nov 14, 2023 05:53Licha ya kupita karibu siku 40 tangu ilipotokea operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa na radiamali ya utawala wa Kizayuni kwa operesheni hiyo kwa kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na kuuawa maelfu ya Wapalestina na uharibifu mkubwa wa eneo hilo, lakini baadhi ya madola ya Magharibi yakifungamana na Waziri Mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, bado yangali yanapinga usitishaji wa vita hivi vya umwagaji damu.
-
Al Mayadeen: Israel inazuia misaada ya kibinadamu ya Iran kuingia Gaza
Nov 14, 2023 04:02Katika hali ambayo Wapalestina wanahitaji sana dawa na vifaa vya matibabu, televisheni ya Al-Mayadeen imeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni haujaruhusu misaada ya kibinadamu ya Iran kuingia Gaza kupitia Misri.
-
Kuendelea vita vya pande zote dhidi ya Gaza na kufunguliwa pande mpya za vita
Nov 14, 2023 02:03Kuendelea mashambulizi ya pande zote ya jeshi la utawala katili wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, kumekiuka sheria zote za kimataifa, zikiwemo za vita, ambapo utawala huo unaopata uungaji mkono na ushirikiano mkubwa wa nchi za Magharibi, umepata kiburi cha kuendeleza jinai za kutisha dhidi ya Wapalestina.
-
Siku 37 za vita vya Gaza
Nov 13, 2023 22:54Jumapili vita vya Ghaza viliingia katika siku ya 37 , huku utawala wa Kizayuni ukiendeleza mashambulizi na jinai zake za kinyama dhidi ya wakazi wa Gaza na hasa kwa kushambulia kikatili hospitali, shule, kambi za wakimbizi, wahudumu wa afya, wagonjwa na majeruhi kwa uungaji mkono wa moja kwa moja wa Marekani.
-
Sh. Stambuli Abdillahi Nassir: Hakuna matarajio ya hatua za maana kutoka kwa mataifa ya Kiarabu kuhusu Palestina +SAUTI
Nov 13, 2023 11:11Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kutekeleza mauaji ya kimbari huko Gaza Palestina huku asasi zote muhimu za kimataifa likiwemo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikishindwa kusitisha unyama huo wa Israel.