-
Duru mpya ya migawanyiko ya ndani katika utawala haramu wa Israeli
Sep 04, 2023 10:51Baada ya mzozo wa ndani wa utawala wa Kizayuni Israel uliosababishwa na mpango tata wa mabadiko ya sheria za mahakama ambao umependekezwa na waziri mkuu, Benjamin Netanyahu, na maandamano makubwa ya kupinga mpango huo, sasa mshtuko mpya ambao haujawahi kutokea umeigubika jamii ya Kizayuni.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Sep 04, 2023 04:19Kwa mara nyingine tena na katika hatua zao zisizokoma, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Hizbullah: Lebanon haina haja na nasaha na ushauri wa Wamarekani
Sep 03, 2023 09:43Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amejibu matamshi ya hivi karibuni ya mwakilishi wa Marekani mjini Beirut na kusisitiza kuwa, Lebanon haina haja ya nasaha na ushauri wa Wamarekani.
-
Jihad al Islami: Kambi ya muqawama haitoruhusu adui kuwa na utulivu
Sep 03, 2023 09:16Msemaji wa harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amegusia mazungumzo yaliyofanyika baina ya wakuu wa kambi ya muqawama huko Beirut Lebanon na kusisitiza kuwa, kambi ya muqawama kamwe haitouruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa na utulivu.
-
Wakuu wa muqawama Palestina na Lebanon kutoa jibu la pamoja dhidi ya Israel
Sep 03, 2023 04:11Viongozi wa harakati za muqawama za Palestina na Lebanon wameapa kushirikiana ili kutoa jibu la pamoja dhidi ya sera za uvamizi za utawala haramu wa Israel.
-
Polisi ya Israel yatumia risasi hai dhidi ya waandamanaji wa Eritrea, Tel Aviv
Sep 03, 2023 03:57Watu wasiopungua 150 wamejeruhiwa baada ya vikosi vya usalama vya utawala haramu wa Israel kutumia risasi hai na mabomu ya kutoa machozi kuyatawanya makundi mawili hasimu ya raia wa Eritrea mjini Tel Aviv.
-
Haniya: Israel inabeba dhima ya mauaji katika jamii ya Waarabu
Sep 03, 2023 03:53Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema utawala haramu wa Israel unabeba dhima ya mauaji ya kiholela katika jamii ya Waarabu katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Lebanon katika mkwamo wa kumchagua Rais mpya
Sep 02, 2023 22:53Licha ya Bunge la Lebanon kufanya zaidi ya vikao 10 kwa ajili ya kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo, lakini hadi sasa limeshindwa kumpata Rais na hivyo kupelekea mkwamo wa kumchagua kiongozi wa juu zaidi nchini humo kuendelea kushuhudiwa.
-
Ansarullah yatahadharisha kuhusu njama mpya za Marekani dhidi ya Yemen
Sep 02, 2023 07:33Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuhusu uwepo wa jeshi la Marekani nchini humo na kusema kuwa, lengo la hatua hiyo ni kuandaa mazingira mapya na kufanya njama hatari na endelevu dhidi ya taifa la Yemen.
-
Mkuu wa Maulamaa wa Kisuni Iraq: Kambi ya Al-Houl inatumiwa na Marekani kuandaa magaidi wa DAESH (ISIS)
Sep 02, 2023 04:36Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kisuni wa Iraq katika mkoa wa Diyala ametahadharisha juu ya hatari ya kambi ya al-Houl kwa usalama wa Iraq na eneo kwa ujumla na akaeleza kwamba kambi hiyo imeanzishwa na Marekani kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuandaa kizazi cha nne cha kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).