-
Bunge la Ulaya lataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina
Jul 14, 2023 07:50Katika kikao chake cha hivi karibuni kabisa, Bunge la Ulaya limeutaka Umoja wa Ulaya na nchi wanachama wa umoja huo kuitambua rasmi nchi ya Palestina.
-
Hamas: Mustakabali wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel
Jul 14, 2023 03:57Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Hamas amesema: Mustakhbali mbaya na wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel, na kwamba kupanuka kwa muqawama na mapambano ni ishara ya mustakbali mbaya wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Masjidul-Aqswa
Jul 13, 2023 08:13Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Seyyid Nasrullah: Lengo la kuvunjia heshima Qur'ani ni kuzusha fitina baina ya Waislamu na Wakristo
Jul 13, 2023 06:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, lengo la kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kutaka kuzusha hitilafu baina ya Waislamu na Wakristo.
-
Ansarullah yatahadharisha kuhusu taathira za kiuchumi za kuendelea mzingiro Yemen
Jul 13, 2023 04:18Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuhusu taathira za kiuchumi za kuendelea kuzingirwa nchi hiyo na muungano vamizi wa Saudia.
-
Kuwait kuchapicha nakala laki moja za Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kisweden
Jul 11, 2023 23:40Serikali ya Kuwait itasambaza nakala 100,000 za Qur'ani Tukufu nchini Sweden zilizotarjumiwa kwa lugha ya Kiswidi.
-
Maafisa wa UN washtushwa na uharibifu uliotekelezwa na Israel huko Jenin
Jul 11, 2023 01:05Maafisa wakuu wa Umoja wa Mataifa na washirika wafadhili Jumapili walitembelea kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Ukingo wa Magharibi wa Jenin, ambapo wameshuhudia uharibifu wa kushtua uliofanyika wakati wa uvamizi wa utawala haramu wa Israeli wiki iliyopita.
-
BCHM: Zaidi ya matukio 100 ya ukiukaji wa haki za binadamu yameripotiwa Bahrain kwa mwezi mmoja
Jul 10, 2023 08:55Kituo cha Haki za Binadamu cha Bahrain kimetangaza kuwa, zaidi ya matukio 100 ya ukiukaji wa haki za binadamu yameripotiwa nchini humo katika kipindi cha mwezi mmoja.
-
HAMAS: Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza vita dhidi ya matukufu ya Kiislamu
Jul 10, 2023 07:54Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza vita dhidi ya matukufu ya Kiislamu.
-
IOM: Idadi ya wahajiri kutoka Afrika wanaokimbilia Yemen imeongezeka
Jul 10, 2023 04:05Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limetangaza kuwa takriban wahajiri 11,000 wa Kiafrika wameingia nchini Yemen katika muda wa mwezi mmoja.