-
Jeshi la Israel laua na kujeruhi makumi ya Wapalestina Jenin
Jun 19, 2023 07:03Jeshi la utawala wa Kizayuni Israel limeua na kujeruhi makumi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Wanamuqawama wa Palestina watekeleza oparesheni 22 dhidi ya Wazayuni
Jun 19, 2023 05:19Wanamapambano wa Palestina jana walitekeleza oparesheni 23 dhidi ya Wazayuni ikiwa ni katika kuendeleza hatua za wanamuqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
HAMAS: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni tishio kwa amani na usalama
Jun 18, 2023 22:44Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa, mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni tishio kwa amani na usalama.
-
Rais Mahmoud Abbas: Ulimwengu mzima wa Kiarabu umefurahishwa na makubaliano ya Iran na Saudi Arabia
Jun 18, 2023 22:43Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, ulimwengu wote wa Kiarabu umefurahishwa mno na hatua ya kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia.
-
Safari ya kwanza ya ndege kutoka Sana'a hadi Saudi Arabia baada ya miaka 7; hatua nyingine ya kumaliza mgogoro wa Yemen
Jun 18, 2023 22:43Safari ya kwanza ya ndege ya Yemen iliyobeba mahujaji Jumamosi iliyopita iliondoka kwenye uwanja wa ndege wa Sana'a kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mfalme Abdulaziz katika mji wa Jeddah ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kipindi cha miaka saba. Ndege hiyo ilikuwa imebeba mahujaji 275.
-
Mahujaji zaidi ya milioni moja wawasili Saudia kwa ajili ya Hija
Jun 18, 2023 04:18Waziri wa Hija na Umra wa Saudi Arabia amesema nchi hiyo imepokea mahujaji zaidi ya milioni moja, wageni wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu walioenda kutekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu.
-
HAMAS: Israel inataka kuwafunga jela watoto zaidi wa Palestina
Jun 18, 2023 04:09Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani njama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kupasisha sheria inayoruhusu kufungwa jela watoto wadogo wa Kipalestina wa kuanzia miaka 12.
-
"Njia za chini ya ardhi za Hizbullah"; zilzala haribifu kwa utawala wa Kizayuni
Jun 18, 2023 00:54Duru za habari za lugha ya Kiibrania zimetangaza kuwa Harakati ya Mapambano ya Lebanon ya Hizbullah inaimarisha nguvu na uwezo wake wa chini ya ardhi na kwamba harakati hiyo inaweza kubomoa na kuharibu vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kupitia njia hizo za nchini ya ardhi.
-
"Uporaji wa ardhi wa Israel, sababu kuu ya matatizo ya Wapalestina"
Jun 17, 2023 07:37Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema kuporwa na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina kunakofanywa na utawala ghasibu wa Israel ndiyo sababu kubwa ya kukumbwa na matatizo jamii ya Wapalestina katika kila sekta.
-
Mlebanoni aliyefungwa jela miaka 23 bila ya hatia huko Marekani aachiwa huru
Jun 17, 2023 04:51Marekani imemwachilia huru raia wa Lebanon aliyekuwa amefungwa katika jela ya nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 23 bila sababu wala ushahidi wowote.